Nina kiwanja cha 20m kwa 20m, nataka kujenga 11m kwa 11m room Tatu sebule Choo na bafu za kawaida milioni kumi na tano, nitaweza kuanza kuishi kama haijakamik
mjini ukiwa na pakulala hela ya kula haikusumbui kwahiyo kujenga muhimuAkili zetu watanzania ni kujenga tu.. Tumejiwekea imani kuwa bila kujenga maisha hayaendi... Anzisha biashara, zalisha hayo mamilioni, utajenga tu
raisi kikwete alisema akili ya kuambiwa changanya na zakoBiashara ni Sawa na kuzika hela mtoni kwa sasa
Ujenzi kwanzaraisi kikwete alisema akili ya kuambiwa changanya na zako
Yah pambania kombe mkuu. Nyumba muhimu sanaUjenzi kwanza
pakulala muhimu kijanaUjenzi kwanza
Ujenzi kwanza
Siku hizi watendaji wanasimamia haya mambo wakiona tu umeanza kujenga lazima aje hapo.Mbona mlangarini siyo sehemu ya kusumbuliwa na vibali
Ukienda naye anapewa cha juuTuliza kichwa halafu fundi asijue kiasi ulicho nacho halafu kingine peleleza mafundi maana unaweza kutana na makanjanja kila kitu ununue mwenyewe yaani mtu asilambe hela yako bila kusota
Najua ubahili ni hasaraMkuu jenga,mambo mengine utayajua mbele kwa mbele,hiyo hela ukiingiza kwenye biashara sasa hivi huna bahati. Uzuri kutokana na hali ilivyo sasa ufundi na materials nyingine unaweza kuzungumza. Ila usije kubargain sana ukampata fundi feki au materials zisizo na viwango.
Kabisa wananusaSiku hizi watendaji wanasimamia haya mambo wakiona tu umeanza kujenga lazima aje hapo.
Sio kweli. Nimejenga hidden roof nyumba kubwa na roof ya kawaida nyumba ndogo. Nyumba ndogo ni gharama kuliko kubwa yenye hidden roof.Watu wanajidanganya sana kwa hidden roof ,gharama za kuaandaa ili iitwe hidden ni mara mbili ya kununua mbao na bati ingawa at the end utatumia mbao na bati chache.
Mkuu wasiliana na UVIMO watakusaidia mengi.Nina kiwanja cha 20m kwa 20m, nataka kujenga 11m kwa 11m room Tatu sebule Choo na bafu za kawaida milioni kumi na tano, nitaweza kuanza kuishi kama haijakamilika?
Shikamoo Mkuu,,Unaweza ila muhimu uwe na muda wa kusimamia ujenzi na upate fundi mzuri.
Hivi ni vitu muhimu kujua bei yake kabla hujaanza.
_ Mchanga
_ Cement
_Mawe
_ Kokoto
_ Tofali
Msingi usizidi ml 3, hapa hakikisha umemwaga na jamvi
Boma liende 4 ml
Kuezeka mil 4
Shimo la choo laki 8
Grill 1.2
Mlango wa mbele na nyuma laki 5 na flem zake
Plaster nje ndani mil 1.3
Laki 2 dharula
Ujenzi unawezekana chief, muhimu ni kuwa na roho ngumu na kuziba masikio,maana wakatisha tamaa ni wengi.
All the best.
Fanya 9M by 9M utaweza kumaliza kwa asilimia 75 then umalizie taratibu.Boma Utatumia Milioni 6,Kupaua Milioni 6,Unaweza kuamia huku ukiendelea kuimalizia taratibu.NB.Bei inategemea na eneo unalojenga kwani gharama zinaweza ongezeka kutokana na eneo.Kama unayo ramani tayari tuwasiliana PM kwa ushauri na connection zaidiNina kiwanja cha 20m kwa 20m, nataka kujenga 11m kwa 11m room Tatu sebule Choo na bafu za kawaida milioni kumi na tano, nitaweza kuanza kuishi kama haijakamilika?
Inaweza kutosha sana hasa ukiamua kuww mchumi kaz ya usaidizi wa fundi unapiga wewe,mfano kumpa tofali,kubeba zege,kukoroga nk.Ushauri tuu.Nashukuru wengine wanakatisha Tamaa watu sana
Fundi wa mkono Hali pesa nyingi sanaInaweza kutosha sana hasa ukiamua kuww mchumi kaz ya usaidizi wa fundi unapiga wewe,mfano kumpa tofali,kubeba zege,kukoroga nk.Ushauri tuu.
Biashara kipaji mkuu, wala msimtamanishe mtu.Akili zetu watanzania ni kujenga tu.. Tumejiwekea imani kuwa bila kujenga maisha hayaendi... Anzisha biashara, zalisha hayo mamilioni, utajenga tu