ahmed omar
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 270
- 215
Kabisa wasitundanganye wengine hatuna hiyo kipajiBiashara kipaji mkuu, wala msimtamanishe mtu.
Hujawahi kuuchuuza hata njiti za viberiti ukajifanye mfanyi Biashara mashuhuri, hiyo Pesa yote inapotea.
Ibaki tu wengine tujenge mungu akijaalia tuitwe Baba mwenyenyumba kisha nyie watu wa Biashara mje muwe Wapangaji wetu basi.
Unaweza ndio, kikubwa kaa na fundi wako mtathimini na akushauri unachotaka ili mpate kitu halishi.Nina kiwanja cha 20m kwa 20m, nataka kujenga 11m kwa 11m room Tatu sebule Choo na bafu za kawaida milioni kumi na tano, nitaweza kuanza kuishi kama haijakamilika?
Tunauza mbao kwa bei ya jumla.Njoo ofisini kwetu TEGETA tukuhudumie kwa gharama nafuu sana:-
2*2 fut12=2500
2*2 fut12(treated) ya dawa=2800
2*2 fut18(treated) ya dawa=5000
2*4 fut12 treated(ya dawa)=5000
2*4 fut12 isiyo ya dawa=4500
1*6 fut12=4500
1*8 fut12=8000
1*8fut12 ya fisher board(treated)=9500
1*10 fut12=13000
1*10fut 18 fisher board( treated)=15500
2*4 fut18(treated)=9500
2*6 fut12=8000
1*4 fut12=2800
2*6 fut 18=19000
Tunapatikana muda wote kwa namba za simu zifuatazo:-
----0759630751
----0687371138
----0654830416
vile vile kuna huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu
Namalizia nikiwa ndaniWeka msingi wa Nyumba nzima kisha Jenga vyumba vitatu hadi vikamlike hamia vingine mbele kwa mbele
Hongera nduguDaaaaah kweli ayseeeee mwaka jana mwezi wa 10 nilapata uo mtiani ,,nilikuwa na kiasi kidogo cha fedha 3M malengo yangu nikaanze kununua tofali kwanza alafu mambo mengine yaendelee, mchumba wangu alinishauri niache kununua tofali ela yote niingize kwenye biashara , mwanzo nilimpinga nikaona ngoja nitafute ushauri zaidi na zaidi Kati ya watu 6 niliowaomba ushauri 5 wakasema niwekeze kwenye biashara niachane na tofali, mwezi wa 11 nikatafuta flemu nikanza biashara ya vyakula, ndani ya mwezi 1 biashara ikanipatia biashara nyingine ya UWAKALA ,, ADI APA NIANDIKAPO SMS HII ILE 3M NILIYOKUWA NATAKA NIKANUNUE TOFALI IMERUD NA MTAJI BADO NINAO
Unaweza ukashindwa kuhamia ila itakuwa imesogea, probably utakuwa umepaua, hivyo ukiongezea kidogo 6-10 unaweza weka madirisha/ grill na lipu na rough ukahamia
Tafuta YouTube utajioneaMkuu samahani niko nje ya mada naomba nikuulize kitu.
Hizi nyumba za huko ulaya zinazojengwa na matofali mekundu ya kuchoma yana ubora na kama haya ya huku kwetu yanachomwa kwenye moto!? Asante[emoji1488]
Vipi ulifanikiwa kujenga mkuu?..Ningependa kuskia feedback.Msaada kwa wataalamu na tips za michoro na ushauri kutoka kwenu wadau.nina m5 nmejchanga changa naitaj kujengo angalau vyumba 2 na sebule na jiko. Choo ndan cha public
Sent using Jamii Forums mobile app
Alibeti kuongeza bajeti bila shaka amenunua nyumba kabisaVipi ulifanikiwa kujenga mkuu?..Ningependa kuskia feedback.
kwa hiyo pesa utakuwa unajenga kituo cha polisi vile vya mtaani visivo lazaga watuumiwaMsaada kwa wataalamu na tips za michoro na ushauri kutoka kwenu wadau.nina m5 nmejchanga changa naitaj kujengo angalau vyumba 2 na sebule na jiko. Choo ndan cha public
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwema.Msaada kwa wataalamu na tips za michoro na ushauri kutoka kwenu wadau.nina m5 nmejchanga changa naitaj kujengo angalau vyumba 2 na sebule na jiko. Choo ndan cha public
Sent using Jamii Forums mobile app
Room ngapi hiiMkuu hebu wasiliana na UVIMO, tukufanyie makadirio (BOQ) na tufanye kazi,
0629361896 - Kupiga
0753927572 - Wasap
Tizama menyu yetu hapa chini.View attachment 1798928
Room -3 ,ikiwemo master -1Room ngapi hii
Labda unataka finishing ya Hali ya juu 10 m haina mlango ni ya wapi hiyonyumba au kituo cha ulinzi kile alichofungua waziri mkuu .
ninajenga nyumba ya vyumba viwili na sebule,jiko na vyoo viwili vya ndani imefika milioni 10 na bado hata dilisha
Labda unataka finishing ya Hali ya juu 10 m haina mlango ni ya wapi hiyo
Raha ya nyumba ni kuwa kwakonyumba sio kituo cha polisi.ndio maana amshindagi makwenu kufurahia rahaa ya nyumba