babu M
JF-Expert Member
- Mar 4, 2010
- 5,222
- 3,176
Nimesoma sehemu jana inasema kwamba shule ya Sekondari ya Ihungo imejengwa na serikali ya Tanzania baada ya kuharibiwa na earthquake.
Lakini leo katika ufunguzi nimemwona kuna mzungu fulani nadhani ni balozi wa UK Tanzania akiwa kwenye msafara lakini kama anapotezewa vile. Hii imeni-prompt kufanya uchunguzi. Nikakuta na ili andiko kwenye UK government website:
Link hii hapa: UK aid for earthquake-affected school in Tanzania
Je, ni kweli ujenzi wa hii shule umegharamiwa na serikali ya Tanzania kama ilivyoandikwa(Sehemu niliyosoma imenitoka)
Au, imejengwa kwa msaada wa serikali ya UK kutoka UKAid/DFID’s education programme. Na kama kuna mkono wa UK kwa nini andiko lililotolewa leo na Msigwa kuhusu huu ufunguzi. Alijasema chochote kuhusu msaada na kuwashukuru UK?

UK aid for earthquake-affected school in Tanzania
British High Commissioner and Head of DFID Tanzania join President John Pombe Magufuli to lay foundation stone of earthquake-affected school in northern Tanzania.