Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,077
- 4,525
Usipende kusikia anachosema Amsterdam pekeeila cha ajabu hawatasema, si jambo zuri kupokea msaada afu usimshukuru aliyetoa hadharani - CCM hii ya leo inataka sifa zote ipate yenyewe tu - ubinafsi
Wewe umezoea kusikia anayosema Lisu au amsterdam tuweka ushahidi , halafu nani kachangia ngapi ?
Wala halijasema kuwa Tanzania ndio imejenga!! Tusubiri hotuba ya mheshimiwa.Lakini andiko lililotolewa leo na Mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu kuhusu huu ufunguzi alijasema chochote kuhusu UK!
Nimesoma sehemu jana inasema kwamba shule ya Sekondari ya Ihungo imejengwa na serikali ya Tanzania baada ya kuharibiwa na earthquake.
Lakini leo katika ufunguzi nimemwona kuna mzungu fulani nadhani ni balozi wa UK Tanzania akiwa kwenye msafara lakini kama anapotezewa vile. Hii imeni-prompt kufanya uchunguzi. Nikakuta na ili andiko kwenye UK government website:
View attachment 1680283
Link hii hapa: UK aid for earthquake-affected school in Tanzania
Je, ni kweli ujenzi wa hii shule umegharamiwa na serikali ya Tanzania kama ilivyoandikwa(Sehemu niliyosoma imenitoka)
Au, imejengwa kwa msaada wa serikali ya UK kutoka UKAid/DFID’s education programme. Na kama kuna mkono wa UK kwa nini andiko lililotolewa leo na Msigwa kuhusu huu ufunguzi. Alijasema chochote kuhusu msaada na kuwashukuru UK?
View attachment 1680295
UK walitoa 6 bilioni...Lakini andiko lililotolewa leo na Mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu kuhusu huu ufunguzi alijasema chochote kuhusu UK!
Michango ya watu, wadau, nchi jirani ilienda wapi?Mbona Dk.Magufuli pamoja na Mawaziri wake waliishukuru Serikali ya UK kwa kuchangia sehemu ya gharama za ujenzi wa shule ya Sekondari ya Ihungo.
Msipende pende sana kupotosha watu due to your inept political leanings - kitu cha kwanza, narudia kukumbusha kwamba shule ya Sekondari ya Ihungo imejengwa kwa funds zilizo changiwa na Serikali ya UK pamoja na Serikali ya Tanzania by 50/50 i.e nusu kwa nusu - haya madai ya kutaka kuonyesha as if Serikali ya Tanzania haikuchangia chochote, madai hayo ni uzushi mtupu ambao unakuwa manufactured na wanachama wa vyama vya upinzani kwa lengo la kisiasa tu.
Wakati mwingine muwe mnapatwa na aibu kidogo kuliko kuonekana mmekubuhu kwenye nyanja za uzushi na fitina. My opinion.
Umejuaje kama ile michango ya wananchi kwa wahanga ndiyo hiyo wakati waliotajwa ni UK [emoji636] na Serikali??Yale matusi mliyokuwa mnamtukana Magufuli kwamba kala hela za tetemeko, hela zenyewe ndio hizo sasa!
Na kasema wazi kwamba nyie mlitaka anunulie mahindi na ndizi awapelekee yeye akajiongeza na sasa faida yake ndio hiyo sasa swali, je kuna mwanakagera yeyote alikufa kwa njaa kwa kukosa mahindi au ndizi kutokana na hilo twtemeko?
Hizo bil 5 ndio zile tulizochanga sisi , 6 za UK , za serikali ni zipi ?Wewe umezoea kusikia anayosema Lisu au amsterdam tuView attachment 1680453
Magu ni mzee wa mijisifa ya kijinga....!!Utasikia akijifu kama ifuatavyo:Sisi Ni dona kantri hatuwezi kupokea misaada ya beberu.
Wi a ini the raiti tiraki.
Mitano tena.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Sio kujengwa!! sema imekarabatiwa na serikali!!Nimesoma sehemu jana inasema kwamba shule ya Sekondari ya Ihungo imejengwa na serikali ya Tanzania baada ya kuharibiwa na earthquake.
Lakini leo katika ufunguzi nimemwona kuna mzungu fulani nadhani ni balozi wa UK Tanzania akiwa kwenye msafara lakini kama anapotezewa vile. Hii imeni-prompt kufanya uchunguzi. Nikakuta na ili andiko kwenye UK government website:
View attachment 1680283
Link hii hapa: UK aid for earthquake-affected school in Tanzania
Je, ni kweli ujenzi wa hii shule umegharamiwa na serikali ya Tanzania kama ilivyoandikwa(Sehemu niliyosoma imenitoka)
Au, imejengwa kwa msaada wa serikali ya UK kutoka UKAid/DFID’s education programme. Na kama kuna mkono wa UK kwa nini andiko lililotolewa leo na Msigwa kuhusu huu ufunguzi. Alijasema chochote kuhusu msaada na kuwashukuru UK?
View attachment 1680295
Mjomba hujasoma uzi umerukia gari kwambele na hii tabia kama utaendelea now itakukost.Soma uuelewe alafu ndoo ukoment.Mbona Dk.Magufuli pamoja na Mawaziri wake waliishukuru Serikali ya UK kwa kuchangia sehemu ya gharama za ujenzi wa shule ya Sekondari ya Ihungo.
Msipende pende sana kupotosha watu due to your inept political leanings - kitu cha kwanza, narudia kukumbusha kwamba shule ya Sekondari ya Ihungo imejengwa kwa funds zilizo changiwa na Serikali ya UK pamoja na Serikali ya Tanzania by 50/50 i.e nusu kwa nusu - haya madai ya kutaka kuonyesha as if Serikali ya Tanzania haikuchangia chochote, madai hayo ni uzushi mtupu ambao unakuwa manufactured na wanachama wa vyama vya upinzani kwa lengo la kisiasa tu.
Wakati mwingine muwe mnapatwa na aibu kidogo kuliko kuonekana mmekubuhu kwenye nyanja za uzushi na fitina. My opinion.
Chezea mabeberu wewe ... Mabeberu ni kama maji usipowaoga utawanawa tuMbona Dk.Magufuli pamoja na Mawaziri wake waliishukuru Serikali ya UK kwa kuchangia sehemu ya gharama za ujenzi wa shule ya Sekondari ya Ihungo.
Msipende pende sana kupotosha watu due to your inept political leanings - kitu cha kwanza, narudia kukumbusha kwamba shule ya Sekondari ya Ihungo imejengwa kwa funds zilizo changiwa na Serikali ya UK pamoja na Serikali ya Tanzania by 50/50 i.e nusu kwa nusu - haya madai ya kutaka kuonyesha as if Serikali ya Tanzania haikuchangia chochote, madai hayo ni uzushi mtupu ambao unakuwa manufactured na wanachama wa vyama vya upinzani kwa lengo la kisiasa tu.
Wakati mwingine muwe mnapatwa na aibu kidogo kuliko kuonekana mmekubuhu kwenye nyanja za uzushi na fitina. My opinion.
6b toka uk au haukusikia hotuba ya waziri, tafta imo humuKwa vyovyote vile lazima UK wana mkono wao hapo, lakini kwasababu wenzetu wanapenda kusifiwa kila wakati ndio maana hawataki ukweli usemwe, hii kwangu naona ni ushamba tu, kwani mtu asieshukuru kwa anachopewa hata kama ni kidogo, huyo hafai kusaidiwa.

Mjomba hujasoma uzi umerukia gari kwambele na hii tabia kama utaendelea now itakukost.Soma uuelewe alafu ndoo ukoment.