Ujenzi wa Shule ya sekondari ya Ihungo umegharamiwa na serikali ya Tanzania au UK?

Ujenzi wa Shule ya sekondari ya Ihungo umegharamiwa na serikali ya Tanzania au UK?

Tunataka vyombo vya habari vya Serikali na vile vya CCM vitamke kwamba ni bei gani UK wametoa na sisi tumetoa ngapi, au ndiyo hii aibu ya kusaidiwa na Mabeberu !! Ukiwa na njaa ondoa aibu utalala njaa next day !!

kwani zile story za kunyimwa misaada kisa lisu na nyumbu wengine zimeishia wapi siku hizi😆😆😆.

naona kila siku mnakuja na beti mpya za ngonjera.
 
Back
Top Bottom