UK aid for earthquake-affected school in Tanzania
British High Commissioner and Head of DFID Tanzania join President John Pombe Magufuli to lay foundation stone of earthquake-affected school in northern Tanzania.
Lakini andiko lililotolewa leo na Mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu kuhusu huu ufunguzi alijasema chochote kuhusu UK!Kwa vyovyote vile lazima UK wana mkono wao hapo lakini kwasababu wenzetu wanapenda kusifiwa kila wakati ndio sababu ya huo ubinafsi
Ni kawaida kwa JPM kutafta sifa hata kama ni sifa haramuSisi Ni dona kantri hatuwezi kupokea misaada ya beberu.
Wi a ini the raiti tiraki.
Mitano tena.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Lakini andiko lililotolewa leo na Mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu kuhusu huu ufunguzi alijasema chochote kuhusu UK!
Nimesoma sehemu jana inasema kwamba shule ya Sekondari ya Ihungo imejengwa na serikali ya Tanzania baada ya kuharibiwa na earthquake....
Mbona Dk.Magufuli pamoja na Mawaziri wake waliishukuru Serikali ya UK kwa kuchangia sehemu ya gharama za ujenzi wa shule ya Sekondari ya Ihungo.Kwa vyovyote vile lazima UK wana mkono wao hapo, lakini kwasababu wenzetu wanapenda kusifiwa kila wakati ndio maana hawataki ukweli usemwe, hii kwangu naona ni ushamba tu, kwani mtu asieshukuru kwa anachopewa hata kama ni kidogo, huyo hafai kusaidiwa.
Uwe unasoma na kuelewa kilichoandikwa, sio mahaba yako yakutie upofu wa macho na akili ushindwe hata kusoma na kutambua kimeandikwa nini.Msipende pende sana kupotosha watu for inept political leaning - shule ya Sekindari ya Ihungo imejengwa kwa funds zilizo changiwa na Serikali ya UK pamoja na Serikali ya Tanzania by 50/50 i.e nusu kwa nusu - haya madai ya kusema Serikali haikuchangia chochote, huo ni uzushi mtupu ambao unakuwa manufactured na wanachama wa vyama vya upinzani kwa lengo la kisiasa - wakati mwingine muwe mnaona aibu kidogo kuliko kuonekana mmekubuhu kwenye nyanja za uzushi na fitina. My opinion.
ila cha ajabu hawatasema, si jambo zuri kupokea msaada afu usimshukuru aliyetoa hadharani - CCM hii ya leo inataka sifa zote ipate yenyewe tu - ubinafsiKwa vyovyote vile lazima UK wana mkono wao hapo, lakini kwasababu wenzetu wanapenda kusifiwa kila wakati ndio maana hawataki ukweli usemwe, hii kwangu naona ni ushamba tu, kwani mtu asieshukuru kwa anachopewa hata kama ni kidogo, huyo hafai kusaidiwa.
Sema wewe tu ndio hujasikia. Ndalichako, Magufuli na Jafo wote wamesema kwenye hotuba zao leo kuwa serikali zote mbili zimechangia, yaani uingereza na jamhuri ya muungano. Nyie makamanda uchwara wa ufipa mna tabu sana.ila cha ajabu hawatasema, si jambo zuri kupokea msaada afu usimshukuru aliyetoa hadharani - CCM hii ya leo inataka sifa zote ipate yenyewe tu - ubinafsi
Tunataka vyombo vya habari vya Serikali na vile vya CCM vitamke kwamba ni bei gani UK wametoa na sisi tumetoa ngapi, au ndiyo hii aibu ya kusaidiwa na Mabeberu !! Ukiwa na njaa ondoa aibu utalala njaa next day !!Sema wewe tu ndio hujasikia. Ndalichako, Magufuli na Jafo wote wamesema kwenye hotuba zao leo kuwa serikali zote mbili zimechangia. Nyie makamanda uchwara wa ufipa mna tabu sana.
Aiseeeee !!!
Balozi wa UK kasema walitoa Tshs. 6 Bil kwa ajili ya ukarabati wa hiyo shule
Sent from my HTC U12 life using JamiiForums mobile app
weka ushahidi , halafu nani kachangia ngapi ?Sema wewe tu ndio hujasikia. Ndalichako, Magufuli na Jafo wote wamesema kwenye hotuba zao leo kuwa serikali zote mbili zimechangia, yaani uingereza na jamhuri ya muungano. Nyie makamanda uchwara wa ufipa mna tabu sana.
Lisu naye anadai shule ya Ihungo imejengwa Chato, duh kaaz kwel kwel.Tunataka vyombo vya habari vya Serikali na vile vya CCM vitamke kwamba ni bei gani UK wametoa na sisi tumetoa ngapi, au ndiyo hii aibu ya kusaidiwa na Mabeberu !! Ukiwa na njaa ondoa aibu utalala njaa next day !!
Fuatilia hotuba zote TBC.weka ushahidi , halafu nani kachangia ngapi ?
TBC ! Mimi huyo?Fuatilia hotuba zote TBC.
Kama hutaki sasa unalalamika nini?TBC ! Mimi huyo ?