Ujenzi wa Shule ya sekondari ya Ihungo umegharamiwa na serikali ya Tanzania au UK?

ila cha ajabu hawatasema, si jambo zuri kupokea msaada afu usimshukuru aliyetoa hadharani - CCM hii ya leo inataka sifa zote ipate yenyewe tu - ubinafsi
Usipende kusikia anachosema Amsterdam pekee
 
W
Lakini andiko lililotolewa leo na Mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu kuhusu huu ufunguzi alijasema chochote kuhusu UK!
Wala halijasema kuwa Tanzania ndio imejenga!! Tusubiri hotuba ya mheshimiwa.
 

Nimesoma barua ya Msigwa, ni mtu ambaye anajua kujieleza vizuri na kwa umakini, sikuona clause yoyote inayo sema kwamba Dk.Magufuli anakwenda kuzindua Shule ya Sekondari ya Ihungo iliyo jengwa upya na Serikali ya Tanzania peke yake bila ya mchango kutoka Mataifa ya nje - hakuna kabisa kitu kama hicho, Msigwa kazungumzia uzinduzi wa majengo ya shule, vile vile kuzungumzia kuhusu uwekaji jiwe la msingi kwenye Chuo cha VETA Mkoani Kagera hakusema chochote kuhusu ufadhili wa Serikali ya China au Uingereza kwa kuwa anajuwa details zitatolewa kwenye speech za Rais pamoja na Mawaziri alio ambatana nao, kazi ya Msigwa ni kutoa taarifa fupi tu kwa umma na si kuandika gazeti au kuandika encyclopidia Bukobanica.

Nimesoma chapisho la UK kuhusu misaada ya ujenzi wa Sekondari ya Ihungo, hakuna popote Serikali ya Uingereza inesema itaghalimia kila kitu mwanzo mwisho - hakuna, sasa nyinyi hizo taarifa zenu za kubumba mnazipata kutoka wapi au na kutoelewa vizuri kingereza nako kunachangia katika baadhi yenu ku-gross misinterpret machapisho yaliyo andikwa kwenye lugha ya kingereza au shida yenu ni kubeza beza efforts za JPM katika harakati zake za kuliletea Taifa letu maendeleo, wengi wenu hamtabiriki kama Gari moshi la kwenda Mpanda.
 
Michango ya watu, wadau, nchi jirani ilienda wapi?
 
Umejuaje kama ile michango ya wananchi kwa wahanga ndiyo hiyo wakati waliotajwa ni UK [emoji636] na Serikali??
 
Sisi Ni dona kantri hatuwezi kupokea misaada ya beberu.

Wi a ini the raiti tiraki.

Mitano tena.

Au nasema uongo ndugu zangu?
Magu ni mzee wa mijisifa ya kijinga....!!Utasikia akijifu kama ifuatavyo:
"....... Shule ya Ihungo imejengwa kwa fedha ya Watanzania wanyonge..!!
"........Hii ni dona kantri hatutaki misaada kwa mabeberu....!!!"
".........Sisi siyo makini.....Lazima Watz watembee kifua mbele....!!!"
 
Sio kujengwa!! sema imekarabatiwa na serikali!!
 
Mjomba hujasoma uzi umerukia gari kwambele na hii tabia kama utaendelea now itakukost.Soma uuelewe alafu ndoo ukoment.
 
Chezea mabeberu wewe ... Mabeberu ni kama maji usipowaoga utawanawa tu
 
Ndiyo uzuri wa JamiiForums hakuna habari iliyo na utata au mapungufu itasomwa bila kuhojiwa au kukosolewa na hasa kama ikiwa haijatimiza vigezo bora vya W5 + 1H.

WanaJamiiForums hawaangalii sura ya mtu awe Msemaji Mkuu, mkurugezi wa habari, waziri au "mwandishi nguli " lazima utakosolewa kukiwa na mapungufu ili tuende sawa kwa kutoa habari kwa umma iliyo sahihi na kamilifu.
 
6b toka uk au haukusikia hotuba ya waziri, tafta imo humu
 

If you are someone that needs to create content in order to connect with your audience, then you may find it difficult to produce quality material on a consistent basis. If that’s your situation, then using a well-worn writer’s technique called the “reporter’s questions,” or “the 5 W’s and the H” may be just what you need
 
Hata shirika la maendeleo la Japan JAICA ni lasisiemu!
 
Mjomba hujasoma uzi umerukia gari kwambele na hii tabia kama utaendelea now itakukost.Soma uuelewe alafu ndoo ukoment.

Oh, is it? Heading yake goes "UJENZI WA SEKONDARI YA IHUNGO UMEGHARIMIWA NA SERIKALI YA TANZANIA AU UK??" kisaikolojia comments kama hiyo hapo juu inatoa picha gani?

Nasema hivi: hata mleta hoja alembeshe vipi,ukweli unabaki kwamba madhumuni na lengo lake lina "shine brightly like a Chrismas tree" i.e si rahisi kulificha, you dont even need a pychoanalytical mind ya kumfikia/zidi Segmund Freud kujua lengo lake pamoja na wenzake ni nini hasa?

Waleta mada wanacho tafuta ni kujaribu to get even with JPM and his entire Administration - would you believe it? see - some people are overly obsessed na Magufuli sijui kwa nini!! Hata afanye zuri lipi wanalitoa kasoro tu, sisemi Dk. Magufuli ni Malaika Gabriel, tunajua kwamba nae ana mapungufu yake kama binadamu wote tulivyo - cha muhimu hapa nikujaribu ku-strike a balance na sio kumlahumu tuu mwanzo mwisho.
 
Ila jamani hili zee jiongo hili!! UK-AID walichangia kwenye rambirambi za tetemeko kiasi cha 6bn ndizo hizo zikanyakuliwa na kwenda kujenga hiyo shule sasa eti yamekuwa matangazo kwamba walichangia ujenzi wa shule, uongo wa mchana kweupe. Mchango ulihusu waathirika wa tetemeko bwana asitudanganye!!
 
Ikulu mawasiliano imetoa hii na imetaja mchango wa UK:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…