Ujenzi wa Shule ya sekondari ya Ihungo umegharamiwa na serikali ya Tanzania au UK?

Mods mnaweza kuifuta hii thread kila kitu kiko sawa.
 
Kama U.K. wametoa 6Bn, inakuwaje 50/50 kama tunaambiwa total ni 10Bn??

Dadavua PLZ! Huenda beberu ndiyo wamepotosha hilo!

Everyday is Saturday................................😎
 
Nikisema huwa mnakurupuka bila kujua mnawaza nini mnakataa,
Wakati mnasema pesa za pole kwa tetemeko zimeliwa na serikari mlikuwa hamjui kuwa UK ilitoa pia pole ya hiyo pesa na ndo ikafanya huo ujenzi?
Na serikari ikaongeza bilioni tano ili kukamilisha ujenzi.
Yaani hamna kumbukumbu bali huwa mnapiga kerere tu.
 
Mi ninachojua
Iyo shule imejengwa kwa RAMBIRAMBI za waathirika wa TETEMEKO
Toa ujinga wako hapa. Mangapi unajua na sivyo hivyo. Uliambiwa na kuamini ndivyo. Uenda hizo rambirambi alinunulia ndege! Nani aliidhinisha kasma ya ununuzi wa ndege? Pesa zetu. Matumizi anapanga asiyelipa kodi hata ya vat haijui. Anachojua ni kuwa na mshahara mkubwa kuliko wote bila kulipa PAYE!
 
Nyie ndio hamsikilizi
 
Ona haka nako!

Hiyo shule si ilibomolewa na tetemeko pia?

Ile michango ilikuwa ni pamoja na kwa ajili ya kukarabati miundombinu iliyoharibiwa na tetemeko ikiwemo hiyo shule.

Tatizo akili zako kaondoka nazo Lisu
 
Your bloody opinion. Uzushi manufacturing co ltd ya wapinzani. La kukarabati Ihungo ulisikia. Serkali kutotuma tetemeko Kagera hukuwahi kusikia. Kiwambo chako cha sikio ni impervious selectively! Chakufaa kifo cha gazeti la bukyanagandi. Nilikuwa nasikia mabandiko mengine jf ni ya kutafutia uteuzi. Nimeamini. Angalizo tu. Aliambiwa Kakurwa wa jalala la ndizi Kemondo ni siyufu. Akawajibu na kuwambia kuwa ndiye anafaa kuwa km wa chama ajuza Afrika. P. alilalia mlango wazi bahati ya Muro akaambulia kura moja ya maoni Kawe. Haijulikani alipigiwa na nani. Yeye hakujipigia!
 
Zitto alisema Tanzania inyimwe misaada kama hii kwa vile inaipa sifa CCM, akaja tundulissu akasema "magufuni wenu" alikula hela za misaada ya tetemeko.
 
Tunataka vyombo vya habari vya Serikali na vile vya CCM vitamke kwamba ni bei gani UK wametoa na sisi tumetoa ngapi, au ndiyo hii aibu ya kusaidiwa na Mabeberu !! Ukiwa na njaa ondoa aibu utalala njaa next day !!
Ihungo zamani ilikuwa inaitwa College of St Thomas Moore. Kwa wasiojua Thomas Moore ni Mtakatifu kwa kanisa la Katoliki na Anglikana. Ilikuwa shule ya Kanisa akainyanganya Nyerere kwa hiyo UK wana sababu zao.
 
Sema wewe tu ndio hujasikia. Ndalichako, Magufuli na Jafo wote wamesema kwenye hotuba zao leo kuwa serikali zote mbili zimechangia, yaani uingereza na jamhuri ya muungano. Nyie makamanda uchwara wa ufipa mna tabu sana.
Ligi imeanza kamanda
Ligi haziishagi humu[emoji23][emoji23]

Ova
 
Wa covid-19 tu hawatangazwi waje kutangaza wa vifo vya njaa Kagera? Nimeani upo kama haupo! You don't count not b-se you're uncountable but just b-se you're not there! Abortion.
 
UK NA TANZANIA MKUU ila kwenye TV balozi wa UK amehutubia Uma leo.
 
Ihungo zamani ilikuwa inaitwa College of St Thomas Moore. Kwa wasiojua Thomas Moore ni Mtakatifu kwa kanisa la Katoliki na Anglikana. Ilikuwa shule ya Kanisa akainyanganya Nyerere kwa hiyo UK wana sababu zao.
Kweli JamiiForums ni jamvi lenye historia tusiyo ijua. Shukrani . Nimefanya research google na kuijua kwa ukubwa historia ya shule hii na wanafunzi maarufu waliopita hapo :
).




Ihungo Secondary School Class of 1984

DR: Banana garden behind the Headmaster's residence.




THE NEW IHUNGO SECONDARY SCHOOL AFTER THE EARTHQUAKE

Pictures of the new buildings have been added here after visiting the campus in May 2019 and talked to students who were all new and did not recognize the former school when I showed them this blog.


DR (May 2019)




DR (May 2019)



DR (May 2019)

Read more : Source: story and images courtesy of Ihungo Secondary School
 
Kama U.K. wametoa 6Bn, inakuwaje 50/50 kama tunaambiwa total ni 10Bn??

Dadavua PLZ! Huenda beberu ndiyo wamepotosha hilo!

Everyday is Saturday................................😎

Kama nakumbuka vizuri, walisema Serikali ya Tanzania ili contribute TSh.5Bn, hiyo ni close to 50% - don't you think? Consequently wanao sema Serikali inayo ongozwa na Dk.Magufuli haikuchangia chochote, hiyo si kweli hata kidogo.
 
Wa covid-19 tu hawatangazwi waje kutangaza wa vifo vya njaa Kagera? Nimeani upo kama haupo! You don't count not b-se you're uncountable but just b-se you're not there! Abortion.
Kwamba wakifa selikali inazuia hata watu binafsi wasiseme?
 
Kama nakumbuka vizuri, walisema Serikali ya Tanzania ili contribute TSh.5Bn, hiyo ni close to 50% - don't you think? Consequently wanao sema Serikali inayo ongozwa na Dk.Magufuli haikuchangia chochote, hiyo si kweli hata kidogo.
Waweza soma hadi chuo kikuu lakini elimu yako ikawa ni ya kidato cha nne tu! Kwenye msiba hutangazwa rambirambi zimetolewa na nani. Vivyo hivyo tulisikia kwa tetemeko la Kagera UK, Kenya, Uganda, Saudi Arabia, balozi kibao nchini, mashirika lukuki ya kimataifa, watu binafsi mashuhuri na kiasi walichotoa. Unakumbuka haijawahi tokea ukusanyaji wa michango nchini kama kwa tukio hilo.
Serkali ikateka nyara rambirambi tulizotoa. Ikakamata waliofungua akaunti kinyemela kukwida rambirambi hizo. Tulishangilia sana. Hatukusikia zaidi. Serkali haikunyosha mkono wake hata kidogo. Nitajie Bukyanagandi serkali yetu ilitoa kiasi gani. Ingetoa lingekuwa tangazo kubwa kama mabango ya rais akigombea urais uchafuzi mwaka jana!
Tuliambiwa rambirambi zilitumika kurudisha miundombinu. Ihungo nayo kujengwa kwa rambirambi. Hata za UK zilikuwa ni rambirambi zilizoelekezwa kwenye ujenzi wa hiyo shule. Serkali iliratibu tu matumizi ya hizo rambirambi. Uratibu wenyewe ulikuwa kinyume na matarajio ya wahanga wa tetemeko na hata ya watoa rambirambi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…