Ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Dodoma(Dodoma Stadium) kuanza hivi karibuni

figganigga sijaielewa taarifa pare inaposema nanenane ndo uwanja kujengwa ina maana ile taarifa ya kusema unakarabatiwa sio kweli huo utakua ni mpya kabisa, maana unaokarabatiwa ni ule wa Jamhuri.
Jamhuri ni kiwanja cha ccm bila shaka hivyo ukikarabatiwa utakuwa chini ya ccm

Huu ni wa serikali
 
Utakuwa uwanja wa timu ya taifa stars kuchezea,uwanja wa uhuru utakuwa wa simba na yanga
 
figganigga sijaielewa taarifa pare inaposema nanenane ndo uwanja kujengwa ina maana ile taarifa ya kusema unakarabatiwa sio kweli huo utakua ni mpya kabisa, maana unaokarabatiwa ni ule wa Jamhuri.
Kama nilimsikia akisema lile eneo la uwanja wa nanenane litamegwa. Ni wazo zuri kwa kuwa pale ni katikati ya Dodoma ukizingatia kule walikotaka kupeleka ni mbali sana na mjini. Tatizo nilionalo lile eneo linalokusudiwa kumegwa litatakuwa dogo sana na haliwezi kukidhi mahitaji wanayofikiria. Labda wachukue eneo la ng'ambo ya barabara ya uwanja wa nanenae hapo watapata eneo la kutosha.
 
Baada ya raisi kutangaza kuwa Morocco watafadhili ujenzi wa uwanja mpya dodoma, mamlaka ya ustawishaji makao makuu (CDA), walitenga eneo la Nala (singida road) kwa ajili ya ujenzi huo. Sasa, raisi amebadili eneo la ujenzi. badala ya Nala, uwanja sasa utajengwa eneo linaloitwa Nzuguni (morogoro road) karibu na uwanja wa maonyesho ya nane nane.
 
Acheni uongo hao Morocco wenyewe hawana uwanja kama huo, vijana wa lumumba Wapuuzi sana!
 
Tena yaweza kuwa shoga wew ulitaka wamezako ndio wajengee
kama ushoga basi.tuanze na rais wako maana wanajifungia na Bashite kisiri hilo linafahamika. Unafikiri.neno shoga basi litaniumiza we maneno ya vitoto kama ninyi
 
Dodoma ni njema kila atakaye aje sasa, hongera jpm.
 
Baada ya raisi kutangaza kuwa Morocco watafadhili ujenzi wa uwanja mpya dodoma, mamlaka ya ustawishaji makao makuu (CDA), walitenga eneo la Nala (singida road) kwa ajili ya ujenzi huo. Sasa, raisi amebadili eneo la ujenzi. badala ya Nala, uwanja sasa utajengwa eneo linaloitwa Nzuguni (morogoro road) karibu na uwanja wa maonyesho ya nane nane.
Kama ni kweli uwanja utajengwa Nanene, hyo barabara ya Morogoro road itakuwa na jam balaa , maana tulskia ofc za zerikali pia znajengwa upande wa huko nzuguni.
Wenyej wa Idyodyoma tujuzen
 
Yeah barabara ya morogoro lazima itakuwa na jam. Kwenye kujenga ofisi za serikali huko, sina hakika. Ila ikulu ndio inajengwa maeneo ya jirani na hapo.
 
Magufuli amepewa rushwa na mfalme wa morroco ili ampigie kura kurudishwa AU.
 
Jamhuri ni kiwanja cha ccm bila shaka hivyo ukikarabatiwa utakuwa chini ya ccm

Huu ni wa serikali
Afadhali lakini kama kweli utajengwa mara moja moja tukajipatie kontena za dodoma [emoji1] [emoji1]
 
Magufuli amepewa rushwa na mfalme wa morroco ili ampigie kura kurudishwa AU.
Sizani kama ni tatizo as long tunajengewa kitu kuliko zile 10%...maana ametujengea kitu lakini kuingia AU, Tz hatuna veto kwamba tutaamua wenyewe arudishwe!!..
 
Kama nilimsikia akisema lile eneo la uwanja wa nanenane litamegwa. Ni wazo zuri kwa kuwa pale ni katikati ya Dodoma ukizingatia kule walikotaka kupeleka ni mbali sana na mjini. Tatizo nilionalo lile eneo linalokusudiwa kumegwa litatakuwa dogo sana na haliwezi kukidhi mahitaji wanayofikiria. Labda wachukue eneo la ng'ambo ya barabara ya uwanja wa nanenae hapo watapata eneo la kutosha.
Naona sawa wangeupeleka kule Nala tu Bs nilisikia stand Stand ya bus za mwanza nayo inaenda kule..
 
Back
Top Bottom