Jamhuri ni kiwanja cha ccm bila shaka hivyo ukikarabatiwa utakuwa chini ya ccmfigganigga sijaielewa taarifa pare inaposema nanenane ndo uwanja kujengwa ina maana ile taarifa ya kusema unakarabatiwa sio kweli huo utakua ni mpya kabisa, maana unaokarabatiwa ni ule wa Jamhuri.
Good work for our President!Ila chonde chonde wasiache ufugaji..
Kama nilimsikia akisema lile eneo la uwanja wa nanenane litamegwa. Ni wazo zuri kwa kuwa pale ni katikati ya Dodoma ukizingatia kule walikotaka kupeleka ni mbali sana na mjini. Tatizo nilionalo lile eneo linalokusudiwa kumegwa litatakuwa dogo sana na haliwezi kukidhi mahitaji wanayofikiria. Labda wachukue eneo la ng'ambo ya barabara ya uwanja wa nanenae hapo watapata eneo la kutosha.figganigga sijaielewa taarifa pare inaposema nanenane ndo uwanja kujengwa ina maana ile taarifa ya kusema unakarabatiwa sio kweli huo utakua ni mpya kabisa, maana unaokarabatiwa ni ule wa Jamhuri.
Baada ya raisi kutangaza kuwa Morocco watafadhili ujenzi wa uwanja mpya dodoma, mamlaka ya ustawishaji makao makuu (CDA), walitenga eneo la Nala (singida road) kwa ajili ya ujenzi huo. Sasa, raisi amebadili eneo la ujenzi. badala ya Nala, uwanja sasa utajengwa eneo linaloitwa Nzuguni (morogoro road) karibu na uwanja wa maonyesho ya nane nane.figganigga sijaielewa taarifa pare inaposema nanenane ndo uwanja kujengwa ina maana ile taarifa ya kusema unakarabatiwa sio kweli huo utakua ni mpya kabisa, maana unaokarabatiwa ni ule wa Jamhuri.
Haujielewi wewHa ha magufuli si alisema nchi tajiri sana why.tunaombaomba viwanja tena kwa waarabu wa Morocco sizonje ana maigizo ila. Sio mbaya aisee
kama mimi tu sijielewi unafikiri mama yako atajielewa?Haujielewi wew
Tena yaweza kuwa shoga wew ulitaka wamezako ndio wajengeekama mimi tu sijielewi unafikiri mama yako atajielewa?
kama ushoga basi.tuanze na rais wako maana wanajifungia na Bashite kisiri hilo linafahamika. Unafikiri.neno shoga basi litaniumiza we maneno ya vitoto kama ninyiTena yaweza kuwa shoga wew ulitaka wamezako ndio wajengee
Halikuumizi kwakua umezoea kuchokolewa mzigokama ushoga basi.tuanze na rais wako maana wanajifungia na Bashite kisiri hilo linafahamika. Unafikiri.neno shoga basi litaniumiza we maneno ya vitoto kama ninyi
mkipanic mnakimbilia kwenye ushoga.kidogo tu mnapanic UVCCM fanyeni ya msingi sio mnatudanganya na mchoro huoHalikuumizi kwakua umezoea kuchokolewa mzigo
Kama ni kweli uwanja utajengwa Nanene, hyo barabara ya Morogoro road itakuwa na jam balaa , maana tulskia ofc za zerikali pia znajengwa upande wa huko nzuguni.Baada ya raisi kutangaza kuwa Morocco watafadhili ujenzi wa uwanja mpya dodoma, mamlaka ya ustawishaji makao makuu (CDA), walitenga eneo la Nala (singida road) kwa ajili ya ujenzi huo. Sasa, raisi amebadili eneo la ujenzi. badala ya Nala, uwanja sasa utajengwa eneo linaloitwa Nzuguni (morogoro road) karibu na uwanja wa maonyesho ya nane nane.
Yeah barabara ya morogoro lazima itakuwa na jam. Kwenye kujenga ofisi za serikali huko, sina hakika. Ila ikulu ndio inajengwa maeneo ya jirani na hapo.Kama ni kweli uwanja utajengwa Nanene, hyo barabara ya Morogoro road itakuwa na jam balaa , maana tulskia ofc za zerikali pia znajengwa upande wa huko nzuguni.
Wenyej wa Idyodyoma tujuzen
Afadhali lakini kama kweli utajengwa mara moja moja tukajipatie kontena za dodoma [emoji1] [emoji1]Jamhuri ni kiwanja cha ccm bila shaka hivyo ukikarabatiwa utakuwa chini ya ccm
Huu ni wa serikali
Sizani kama ni tatizo as long tunajengewa kitu kuliko zile 10%...maana ametujengea kitu lakini kuingia AU, Tz hatuna veto kwamba tutaamua wenyewe arudishwe!!..Magufuli amepewa rushwa na mfalme wa morroco ili ampigie kura kurudishwa AU.
Naona sawa wangeupeleka kule Nala tu Bs nilisikia stand Stand ya bus za mwanza nayo inaenda kule..Kama nilimsikia akisema lile eneo la uwanja wa nanenane litamegwa. Ni wazo zuri kwa kuwa pale ni katikati ya Dodoma ukizingatia kule walikotaka kupeleka ni mbali sana na mjini. Tatizo nilionalo lile eneo linalokusudiwa kumegwa litatakuwa dogo sana na haliwezi kukidhi mahitaji wanayofikiria. Labda wachukue eneo la ng'ambo ya barabara ya uwanja wa nanenae hapo watapata eneo la kutosha.