The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,275
Among the most stupid ideas ni hilo la kujenga liuwanja hilo kwa omba omba wa huko Dodoma. Haina tofauti na kujenga international airport kule buseresere.View attachment 1045605Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mhandisi Patrick Mfugale amesema uwanja huo utajengwa jirani na eneo la Nanenane kando ya barabara ya Dodoma – Morogoro, utajengwa kwa mfano wa mlima Kilimanjaro na utakuwa na uwezo wa kuchukua watazamaji kati ya 85,000 na 100,005.
Kwa hiyo mhandisi wa uwanja inatakiwa awe kocha mkuu wa timu ya Taifa!!!
Hamia huko uchumi unakoimarika. Kuwa mchawi sio hadi uroge, hata KUPINGA NA KUCHUKIA KILA LIFANYWALO NA SERIKALI NI UCHAWI.Uchumi ukiendelee kuporomoka,kila kitu kinachofanyika leo hii kitakuwa ni kazi bure kwa uchumi wa nchi!
Wewe kama sio mtoto wa juzi, basi unaishi porini huko.Simba tu pekee siku hizi wanaujaza,ni lini mechi ya simba na yanga huo uwanja hakuwahi kujaa??
Kwenye kakibanda kao pale Ufipa.Hivi hizo takwimu za uchumi kuporoma wafuasi Wa DJ mboye huwa mnazitoa wapi ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajenge unaofanana na mji wa chato. Au chato hamna kivutio chochote?View attachment 1045605Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mhandisi Patrick Mfugale amesema uwanja huo utajengwa jirani na eneo la Nanenane kando ya barabara ya Dodoma – Morogoro, utajengwa kwa mfano wa mlima Kilimanjaro na utakuwa na uwezo wa kuchukua watazamaji kati ya 85,000 na 100,005.
Nani unadhani ana uwezo wa kusimamia ujenzi wa mlima kilimanjaro stadium kama si mzee wa madaraja wa tanroads?Uwanja unasimamiwa na tanroad? Acha mabeberu wa moroko wa mnunue ccjiwe
Unagharimu shilingi ngapi kaka...????View attachment 1045605Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mhandisi Patrick Mfugale amesema uwanja huo utajengwa jirani na eneo la Nanenane kando ya barabara ya Dodoma – Morogoro, utajengwa kwa mfano wa mlima Kilimanjaro na utakuwa na uwezo wa kuchukua watazamaji kati ya 85,000 na 100,005.
Wataupa jina la hapa kazi tu kama walivyoziita ndege.Uwanja upewe jina la Serengeti, Dodoma au Mt. Kilimanajaro Stadium
View attachment 1045605Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mhandisi Patrick Mfugale amesema uwanja huo utajengwa jirani na eneo la Nanenane kando ya barabara ya Dodoma – Morogoro, utajengwa kwa mfano wa mlima Kilimanjaro na utakuwa na uwezo wa kuchukua watazamaji kati ya 85,000 na 100,005.
View attachment 1045605Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mhandisi Patrick Mfugale amesema uwanja huo utajengwa jirani na eneo la Nanenane kando ya barabara ya Dodoma – Morogoro, utajengwa kwa mfano wa mlima Kilimanjaro na utakuwa na uwezo wa kuchukua watazamaji kati ya 85,000 na 100,005.
Mbona una dharau hivi ndugu?! Ulitaka na huu pia ukajengwe Dar?! Sijui una kipato kiasi gani hadi unaita watu Omba omba?!Among the most stupid ideas ni hilo la kujenga liuwanja hilo kwa omba omba wa huko Dodoma. Haina tofauti na kujenga international airport kule buseresere.
Huo uwanja utakuwa pambo na gofu baada ya muda mfupi tu.
Pamoja na furaha zangu kwa haya maendeleo nakuomba Mhandisi mshauri Rais kabla hajamaliza vipindi vya utawala wake ahahakikishe Tanzania ina vitu vifuatavyo.
1. Aunganishe nchi nzima kwa net work ya treni za umeme (SGR) yaani toka mbaba bay, Songea, Mtwara, lindi , Kilwa hadi Dar. Nyingine SGR umeme itoke Ruvu, Tanga, Moshi, Arusha ,Musoma, Bukoba. Tabora hadi Kigoma Reli ya Tazara iwe SGR umeme hahika usafiri utakuwa bei nafuu hata kusafirisha mazao.
2. Ajenge kila mkoa nyumba za kuishi maskini ambazo zitaendeshwa na bajeti ya serikali
3. Kwa vile watu wanaongezeka kila mwaka ajenge magorofa shule zilizopo sasa, nyumba za walimu, Maabara na hospitali zote zijengwe wodi za magorofa.
4. Atoe posho Tshs. laki tatu kila mwezi kwa wazee wote waliotimiza miaka sabini bila ya kujali kama aliajiriwa au alikuwa mkulima. Hii ni ndoto yangu kwa maendeleo ya nchi yetu