Ujerumani: Euro bilioni 65 kutolewa kwa wananchi kukabiliana na gharama za maisha

Wanafuata nyayo za mama Samia.Yeye alitoa mabilioni ya pesa kushusha bei ya mafuta [emoji41][emoji41]
 
Freddie huna akili za kuwashauri Wajerumani.
Hilo ndilo taifa lenye uchumi mkubwa zaidi Ulaya na viwanda vya kila aina vinavyozalisha bidhaa bora kabisa duniani
Hawakufika hapo kwa bahati mbaya au kwa akili kama zako.
Wape miaka 6 nabkuendela ili kujikwamua na mafuta ya kuagiza nje kwa meli yatawagharimu saaaaana maana Nord stream 1 iliwafaa sana
 
Akiipata gas huko kwengine nje ya RUSSIA gharama yamaisha itakua kubwa kuliko hata ilivyo sasa
Waache wahangaike mwisho watamrudia RUSSIA wakiwa na adabu na akili
Acha tuone!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ikifikia 100k sawa tu, tumechoka kuona US na vibaraka wake wakiifanya dunia ni kigoda Chao.

Binafsi ningependa zaidi kama bara la africa tungewekewe vikwazo vya kitoshirikiana nao kwa chochte ili tujikomboe kifikra na kiuchumi
Akili kubwa sana hiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Freddie huna akili za kuwashauri Wajerumani.
Hilo ndilo taifa lenye uchumi mkubwa zaidi Ulaya na viwanda vya kila aina vinavyozalisha bidhaa bora kabisa duniani
Hawakufika hapo kwa bahati mbaya au kwa akili kama zako.
Huyo German anaendeshwa na US kama mpuuzi kumbuka ana nord stream 2 ambayo anaighramaia ujenzi na maintenance anajitoaje kutoka utegemezi wa gesi na mafuta ya Russia?
 
Yaani mtu ana tumia akiba yake wewe una furahia unaona ni jambo zuri ama kweli akili ni nywele [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
H
Ukiona mtu / Taasisi Ina tumia akiba it means imeshindwa kuzalisha kile ilicho kuwa inaingiza awali nahizo ni dalili za kufilisika
 
Yaani awe na Urafiki wa kibiashara na watu walio mpiga sanctioned, ukimwaga Ugali na mwaga mboga [emoji1787]

Sio lazima kufanya biashara na ulaya magharibi mataifa yapo mengi mbona

Acha wapewe kichapo Cha uchumi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa Waka nunue gesi huko waache kulia kulia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nadhani wewe utakuwa unajua zaidi kuliko viongozi wa EU wapatie ushauri Ili wasikutane na mfumuko wa bei unao sababishwa na vikwazo walivyo muwekea wao wenyewe Russia
 
Pro Russia mna uelewa finyu na hafifu sana panapo basic economics na biashara.
Mean while wewe una uelewa mkubwa sana ndio maana nimshauri mkuu wa serikali Yako ya JMTZ na umeisaidia serikali hiyo kuwa taifa la kwanza linalo ongoza Kwa uchumi mkubwa Africa mashariki [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Marekani ana mafuta na gesi ndio lakini mwenyewe tu havimtoshi kwa matumizi ya ndani. Ndo maana kutwa kucha anavisaka nchi za nje na kuhifadhi kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…