Ujerumani: Hatutatuma tena silaha Ukraine

Ujerumani: Hatutatuma tena silaha Ukraine

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Screenshot_20221028-131240_Twitter.jpg

Counselor wa Ujerumani bwana Scholz amesema Taifa lake litajitenga na kutuma silaha huko Ukraine kwa sababu 20-30% ya Wajerumani wanapinga hilo na hawataki vilevile Urusi iwekewe vikwazo.

Scholz pia anataka kuendeleza mahusiano mema ya kibiashara na mshirika wa karibu na Urusi, China.
 
View attachment 2400373

Hilo lingefanyika mapema ujinga unaofanywa na watu wa ulaya na America Hapo Ukraine isingefikia hatua ya kugharimu Maisha na Mali na kusababisha Hali ngumu za Maisha Duniani.Kilichobakia ni Marekani kutambua Hilo japo kwa aibu,na kukubali kuwa Urusi ni tisho kwa muungano was Nato pengine Hata anavyoitazama uchina na kinachotakiwa ni amani,maridhiano na makubaliano😂😂
 
View attachment 2400373

Counselor wa Ujerumani bwana Scholz amesema Taifa lake litajitenga na kutuma silaha huko Ukraine kwa sababu 20-30% ya Wajerumani wanapinga hilo na hawataki vilevile Urusi iwekewe vikwazo.

Scholz pia anataka kuendeleza mahusiano mema ya kibiashara na mshirika wa karibu na Urusi, China.
Supa pawa wa zamani za kale linapoteza ushawishi kwa kasi kubwa sana na soon litakuwa joka la kibisa
Hii mbaya sana yaani mpaka nchi za Africa zimefikia atua ya kumkataa. Inabidi ijitafakari haraka saana
 
Hilo lingefanyika mapema ujinga unaofanywa na watu wa ulaya na America Hapo Ukraine isingefikia hatua ya kugharimu Maisha na Mali na kusababisha Hali ngumu za Maisha Duniani.Kilichobakia ni Marekani kutambua Hilo japo kwa aibu,na kukubali kuwa Urusi ni tisho kwa muungano was Nato pengine Hata anavyoitazama uchina na kinachotakiwa ni amani,maridhiano na makubaliano[emoji23][emoji23]
urusi ana hali mbaya sana alivoingia vitani alijua atakutana na vibonde kama vita za nyuma ambazo alishinda kirahisi ila wamejikuta wamewekewa ukuta mkali sana ambao hawakuutarajia, putini amebaki tu kutishia nyuklia kila siku anatoa matishio ya nyuklia ujue kweli hali mbaya.. yule kichaa wake wa çhechnia mwenyewe kakiri wiki hii makomando wake 23 wameuliwa mkuu, ukraine itaharibiwa lakini urusi hatatoka hapo salama ujue, na anapoteza pesa nyingi saña usifikiri kurusha yale makombora ni pesa ndogo ndo maama amehamia kwenye vi drone vya irani vya bei rahisi, maji yako shingoni kwa urusi...yani ni kama kajiingiza kweñye ule mtego wa panya wenye nyavu yani kuingia rahisi kutoka mziki
 
Ujerumani imeendeleza msimamo wake wa kutotuma vifaru, ilikuwa na msimamo huo tangu vita inaanza. Sasa sijui aliyekwambia silaha ni vifaru tu ni nani.

Ujerumani imetuma Gepards SPAAG,Panzerfaust anti tank missiles, Pz2000 self propelled artillery, air defence systems, helmets maelfu kwa maelfu, vifaa tiba, anti tank mines, shells na munitions tani kadhaa.

Ujerumani inazuia kupeleka vifaru Ukraine ina sababu zake zenye mashiko kiasi. Leopard 2 ndio vifaru ndani ya NATO block vilivyo available na viko kwenye storage na vingine haitumiki na Ujerumani tena, Ujerumani ndio inatoa ruhusa ya kuvigawa hata kama kuna aliyevinunua kama Poland. Ufaransa ina Lecrec vichache, Uingereza ina Challenger vichache, Italy ina Ariete vichache.

Marekani inavyo Abrams version ya mwanzo zaidi ya 100 viko mothballed kwenye storage facilities na vina uwezo mkubwa ila sheria ya Marekani inazuia kuvitoa nje. Havikuwa export version bado kuna armour wasiyotaka iende nje. Ujerumani inataka isilazimishwe pekee ndio itoe vifaru hata wengine watoe. Ila ndio iko rahisi kuvitoa kuliko wengine. Poland wao mzigo wao wa Soviet era tanks washatoa kwa Ukraine na wako na programu ya kuagiza vifaru vingine preferably kuongeza Abrams Sepv3 kwenye inventory na kuchukua K2 Black Panther vya South Korea
 
Hata Canada ina Leopards zaidi ya 100 vimekaa tu havina kazi. Ujerumani inashushiwa lawama, ndio mnunuaji mkubwa wa gesi ya Urusi na makampuni yake yamesaidia Russian defence industry. Components kadhaa za Kijerumani kwenye vifaa vya Mrusi
 
View attachment 2400373

Counselor wa Ujerumani bwana Scholz amesema Taifa lake litajitenga na kutuma silaha huko Ukraine kwa sababu 20-30% ya Wajerumani wanapinga hilo na hawataki vilevile Urusi iwekewe vikwazo.

Scholz pia anataka kuendeleza mahusiano mema ya kibiashara na mshirika wa karibu na Urusi, China.
Toa uchafu wako wa twitter za kimchongo hapa, tuletee vidhibiti sahihi ili tuchangie
 
Back
Top Bottom