Ujerumani: Hatutatuma tena silaha Ukraine

Ujerumani: Hatutatuma tena silaha Ukraine

Ujerumani imeendeleza msimamo wake wa kutotuma vifaru, ilikuwa na msimamo huo tangu vita inaanza. Sasa sijui aliyekwambia silaha ni vifaru tu ni nani.

Ujerumani imetuma Gepards SPAAG,Panzerfaust anti tank missiles, Pz2000 self propelled artillery, air defence systems, helmets maelfu kwa maelfu, vifaa tiba, anti tank mines, shells na munitions tani kadhaa.

Ujerumani inazuia kupeleka vifaru Ukraine ina sababu zake zenye mashiko kiasi. Leopard 2 ndio vifaru ndani ya NATO block vilivyo available na viko kwenye storage na vingine haitumiki na Ujerumani tena, Ujerumani ndio inatoa ruhusa ya kuvigawa hata kama kuna aliyevinunua kama Poland. Ufaransa ina Lecrec vichache, Uingereza ina Challenger vichache, Italy ina Ariete vichache.

Marekani inavyo Abrams version ya mwanzo zaidi ya 100 viko mothballed kwenye storage facilities na vina uwezo mkubwa ila sheria ya Marekani inazuia kuvitoa nje. Havikuwa export version bado kuna armour wasiyotaka iende nje. Ujerumani inataka isilazimishwe pekee ndio itoe vifaru hata wengine watoe. Ila ndio iko rahisi kuvitoa kuliko wengine. Poland wao mzigo wao wa Soviet era tanks washatoa kwa Ukraine na wako na programu ya kuagiza vifaru vingine preferably kuongeza Abrams Sepv3 kwenye inventory na kuchukua K2 Black Panther vya South Korea

asipo kuelewa wewe hata ashuke nabii toka juu hawatamuelewa.
 
Watatawanyika Wote kila mtu Njia Yake Urusi ni Taifa kuu la Kaskazini someni pia unabii mtajua Siku vita kuu Ikianza mjue Ndio Mwisho Wa Marekani Maana Madude ya Nuclear yaliyoko pale Moscow sio ya kitoto basi tu watu hamjui haya mambo...Ulaya Wapiga uongo mwingi sana katika hii vita wanaumizwa sana mnoo na hii vita hivi leo Pale London chai Kikombe na Sambusa ni Pound 5 sawa na Elf 16 kutoka senti 50 za pound je unadhani nani anapenda hilo???

Uingereza Kwa Kipindi Cha miezi 8 imeshakua na Serikali 3 tofauti hata Huyu Mhindi Akijichanganya na kidomo domo watamtoa haraka snaa...Hawasemi kwanini wanaangushwa hali mbaya sana uchumi wao uko taabani kuliko walivyotarajia maandamano kila uchao....Hawaonyeshi mambo hayo...
 
urusi ana hali mbaya sana alivoingia vitani alijua atakutana na vibonde kama vita za nyuma ambazo alishinda kirahisi ila wamejikuta wamewekewa ukuta mkali sana ambao hawakuutarajia, putini amebaki tu kutishia nyuklia kila siku anatoa matishio ya nyuklia ujue kweli hali mbaya.. yule kichaa wake wa çhechnia mwenyewe kakiri wiki hii makomando wake 23 wameuliwa mkuu, ukraine itaharibiwa lakini urusi hatatoka hapo salama ujue, na anapoteza pesa nyingi saña usifikiri kurusha yale makombora ni pesa ndogo ndo maama amehamia kwenye vi drone vya irani vya bei rahisi, maji yako shingoni kwa urusi...yani ni kama kajiingiza kweñye ule mtego wa panya wenye nyavu yani kuingia rahisi kutoka mziki
Na bado amechukua 15% ya ardhi ya Ukraine na kuirasimisha kuwa sehemu ya Urusi!?
 
Watajitambua taratiiiiiiiiibu
Vladimir-Putin-with-a-gas-pipeline_trans_NvBQzQNjv4BqNUHzxaamNmHDqK-YksWRz2o-yMLyYquKCawpyDOW254.jpg
Vladimir-Putin-with-a-gas-pipeline_trans_NvBQzQNjv4BqNUHzxaamNmHDqK-YksWRz2o-yMLyYquKCawpyDOW254.jpg
 
Tuko na Marekani hadi mwisho

Mmarekani hakuna vita vyovyote alivyoweza kufanikiwa tangu dunia iundwe! Atakimbia mwenyewe tu, hebu fikiria NATO nzima ipo na Ukraine lakini wapo hoi kwa Mrusi! Je, ingekuwa wawili kwa wawili yaani huku Mrusi na kule Mmarekani, mbona Mmarekani angekuwa alishakimbia siku nyingi tu!
 
Acha utani kabisa na baridi la Europe.kila mtu kwa sasa anapambania taifa lake maana hapo baadae lawama sitakuwa nyingi sana.

Uzuri URUSI kashasema kabisa waliokuwa upande wetu tuwajue mapema na maadui zetu pia nao tuwajue.Sasa ukichagua upande wa adui basi jua kabisa gesi ya WARUSI utaisikia kwenye bomba..
 
Wewe nenda ufundishe madrassa lakini usifundishe mafunzo ya watu kujitoa mhanga kisa mabikra 72.
 
urusi ana hali mbaya sana alivoingia vitani alijua atakutana na vibonde kama vita za nyuma ambazo alishinda kirahisi ila wamejikuta wamewekewa ukuta mkali sana ambao hawakuutarajia, putini amebaki tu kutishia nyuklia kila siku anatoa matishio ya nyuklia ujue kweli hali mbaya.. yule kichaa wake wa çhechnia mwenyewe kakiri wiki hii makomando wake 23 wameuliwa mkuu, ukraine itaharibiwa lakini urusi hatatoka hapo salama ujue, na anapoteza pesa nyingi saña usifikiri kurusha yale makombora ni pesa ndogo ndo maama amehamia kwenye vi drone vya irani vya bei rahisi, maji yako shingoni kwa urusi...yani ni kama kajiingiza kweñye ule mtego wa panya wenye nyavu yani kuingia rahisi kutoka mziki
Hatishii,uwezo anao,ikipatikana sababu atakuambia Hata wewe beberu wa Buza,Kwani hatua ya matumizi ya hiyo kitu ni hatua ya mbali Sana,Ila kumbuka Hata kumiliki hiyo kitu ni ushindi Kati ya waliotamani kuwa na uwezo huo.Hivyo kaa kwa kutulia na uuangalie huu mchezo kwa utulivu🤸🤸
 
Nilidhani ni mimi peke yangu pengine ndiye ambaye naziona dosari katika huu uzi. Aisee, kumbe tuko wengi?!
Wengine mnasumbuliwa na mahaba kwa mabeberu wa Nato,ambao ni wengi jinga,Kama makondoo yaliyo jikusanya pamoja na kiongozi ni kondoo mwenzao,Bora Hata wangekuwa na mchungaji🏃🏃
 
Watatawanyika Wote kila mtu Njia Yake Urusi ni Taifa kuu la Kaskazini someni pia unabii mtajua Siku vita kuu Ikianza mjue Ndio Mwisho Wa Marekani Maana Madude ya Nuclear yaliyoko pale Moscow sio ya kitoto basi tu watu hamjui haya mambo...Ulaya Wapiga uongo mwingi sana katika hii vita wanaumizwa sana mnoo na hii vita hivi leo Pale London chai Kikombe na Sambusa ni Pound 5 sawa na Elf 16 kutoka senti 50 za pound je unadhani nani anapenda hilo???

Uingereza Kwa Kipindi Cha miezi 8 imeshakua na Serikali 3 tofauti hata Huyu Mhindi Akijichanganya na kidomo domo watamtoa haraka snaa...Hawasemi kwanini wanaangushwa hali mbaya sana uchumi wao uko taabani kuliko walivyotarajia maandamano kila uchao....Hawaonyeshi mambo hayo...

Mkuu na bado, makubwa zaidi yanakuja - viongozi karibu wote wa huko Ulaya wataanza kupanga foleni kwenda kumpigia magoti Tzar Putin ili yaishe - hawana jinsi,Merikani kawaingiza kwenye mkenge kichwa kichwa sasa wanajuta - winter ikianza kukaza vyuma mbona watatafutana mpaka uvunguni mwa kitanda.
 
Back
Top Bottom