Ujerumani: Hatutatuma tena silaha Ukraine

huu mchezo wakati unaanza tuliambiwa wiki moja ni kubwa sana, tuliambiwa hayatazidi masaa 72..
 
kwan alieivamia Crimea 2014 ni nan ? je mabeberu walijihusisha ? pia aliekuwa anafadhir civil wars huko Ukraine ni nan ?pia alikuja ivamia kabisa Ukraine ni nan ? MSIJITIE UCHIZI KUJIFANYA HAMJUI LOLOTE
 
Supa pawa wa zamani za kale linapoteza ushawishi kwa kasi kubwa sana na soon litakuwa joka la kibisa
Hii mbaya sana yaani mpaka nchi za Africa zimefikia atua ya kumkataa. Inabidi ijitafakari haraka saana
sbr utaelewa tu
 
Wengine mnasumbuliwa na mahaba kwa mabeberu wa Nato,ambao ni wengi jinga,Kama makondoo yaliyo jikusanya pamoja na kiongozi ni kondoo mwenzao,Bora Hata wangekuwa na mchungaji[emoji125][emoji125]
HUNA HOJA , PUMBÄ TU
 
Hivi unazungumzia vita ipi ambayo unaiona peke yako? YaaniZele kila siku analalamika kuwa hali ni mbaya ila wewe mchambuzi wa Mtimbwilimbwi unasema hali ni nzuri unadhani itakusaidia? Unasema kurusha makombora kunaigharimu sana urusi kwa hiyo upande wa pili hawagharimiki? Yaani mtu alishatengeneza kombora na lipo kwa akili ya vita halafu ashindwe kurusha? Pia unasema na kukili kuwa Ukraine utachakaa lakini Urusi hataki salama kivipi? Nakuonya unapoandika jina la PUTIN tulia harufu kubwa ili kulinda heshima yake.
 
.
Nadhani wamebanwa kwenye nishati ndio maana wameanza kujitoa pole pole kuiunga mkono Ukraine.
.
Ikumbukwe kwamba Ujerumani inaagiza asilimia 34 ya mahitaji yake ya nishati kutoka Russia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…