Ujerumani imevuna alichopanda mjini Doha

Ujerumani imevuna alichopanda mjini Doha

goroko77

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2019
Posts
8,845
Reaction score
13,072
Ujerumani Ni taifa kubwa kiuchumi sana

Ingawa juzi kwenye kuwasili kwenye kombe la dunia akitokea mjini Frankfurt aiifika na nembo za kuashiria kukubali ushonga na kusapoti ushoga lengo na makusudi yake ilikuwa kuwaudhi waarabu, waarabu wakawakatalia kutua katika uwanja wao waondoke wakabadili nguo na jezi zao pamoja na kubadili ndege yao yenye alama za kusapoti ushoga ndipo wakatii amri.

Kudos Sana Serikali ya Qatar hamkujali lolote au yeyote Kuja kuwavurugia utaratibu wenu mliojiwekea Ila sina hakika Sana kuwa mko serious

Ujerumani imechapwa na Japan na leo tena katoa draw na ESPN naona, hii ni laana kabisa wamevuna kutoka Qatar

Kundi lao yupo
ESPN 4
Germ 1
Costarica 3
Japan 3

Namuona Japan na ESPN wakizonga mbele Zaid

Nawasilisha nilikuwa nimesafiri Sasa nimerudi mjini JF
 
Mpira ulivyokua mchezo wa ajabu utashangaa ujerumani ndie timu itayofika mbali kuliko timu zote za kundi lake ulizozitaja
Inafikaje wakati anashika mkia kwa point moja wakati wenzio wote Wana point nne nne

Kiarusha tunasema, imeisha hyo "
 
Mpira ulivyokua mchezo wa ajabu utashangaa ujerumani ndie timu itayofika mbali kuliko timu zote za kundi lake ulizozitaja
Kumpita Espn yahitaji muujiza jamaa ana point 4 na mechi ijayo kamwe hawezi kufungwa na Jpn hata akifungwa atabaki na point 4 na goli 8 je German atampiga Costarica goli 8 ili ampite Espn? Tusubiri
 
Unaenda kumuudhi mtu nyumbani kwake, lazima uwe na taahira ya akili

IMG-20221127-WA0000.jpg
IMG-20221126-WA0019.jpg
 
Ukiona njugu utadhani njigi na ukiona njigi utadhani njugu.

Between two evils choose none!
 
Pumbavu Sana [emoji38] Ila mm binafs sinaga bifu na mashoga mambo ya sirini hayo, shida yangu iko kwa watot wadogo kulawitiwa na wakubwa nachukia Sana
Ukiona njugu utadhani njigi na ukiona njigi utadhani njugu.

Between two evils choose none!
 
Back
Top Bottom