Ujerumani ina mpango wa kuwarudisha kwao wahamiaji waliotoka nchi za Kiislamu

Ujerumani ina mpango wa kuwarudisha kwao wahamiaji waliotoka nchi za Kiislamu

Mbona Waisilamu wa hapa Tanzania ni wengi na bado ni Waungwana sana.
Tofautisha kati ya Tanzania, Tanganyika na Zanzibar.
  • Tanganyika, waislamu ni wachache kuliko wakristo.Tunaishi kwa amani kila mtu anafuata imani yake kwasababu wakristo ni wengi. Waislamu wanaishi kwa uhuru sana.
  • Zanzibar, waislamu ni wengi kuliko wakristo lakini ikifika ramadhani, haurusiwi kula mchana au kuuza vyakula na ukikutwa unakula hata jojo unachapwa viboko. Ila sisi huku Tanganyika waislamu wanaishi kwa uhuru sana
Pemba waliandamana kanisa lisijengwe na kuna matukio mengi ya viongozi wa kikristo kufanyiwa vitendo viovu vya kuuawawa, kumwagiwa tindikali au kufanyiwa kitendo chochote cha kiovu. Makanisa kuchomwa moto n.k
 
Dini ya Kiisilamu ililetwa kwenye Mwambao wetu na Arab Merchants na Ukristo uliletwa na Wamisionari.

Sisi Waafrika wa Mashariki tuache Chuki dhidi ya wenzetu sote tumezipokea hizi Dini na zote zimehusika kwenye Exploitation dhidi yetu Wabangubangu.

Labda kwa ushauri tu tuziAfricanize hizi Dini ili zikidhi mahitaji yetu ya kiroho kiukweli na sio kinafiki.
 
Ujerumani inatakiwa itulipe Watanganyika kwa Mauaji ya Majimaji na uporaji wa Maliasili

Itulipe zaidi ya hizi za Namibia👇
In May 2021, the German government agreed to pay €1.1 billion over 30 years to fund projects in communities that were impacted by the genocide.
 
Nchi za Wadosi Kiuchumi unaweza kuzifananisha na hizi zetu za Kibantu?

Hata hapa Afrika Wadosi kwa Uchumi wako juu Mfano Mo Dewji MT MERU nk.
Kinachowapeleka canada nini kama uchumi wao mzuri?
 
Kinachowapeleka canada nini kama uchumi wao mzuri?
Kilichowapeleka Waingereza huko Australia ni nini kama wanauchumi mzuri.

Kuhamahama kwa Mwanadamu ni asili na ni hulka hata hapa Tanganyika Wabantu tumehamia kutoka Misitu ya Gabon na Cameroon Wamasai na waIraqwi nao wametoka kwenye Bonde la Mto Nile na Milima ya Uhabeshi.

Leo hii Mgogo akienda Kongo kuna baadhi ya Makabila yanamuelewa kwa asilimia 60.
 
Waisilamu wanafuata ile falsafa ya Demokrasia kuwa "wengi wape".

Kwahiyo baada ya muda Ulaya yote itakuwa na wapigakura wengi Waisilamu au bado tu hujaelewa logic ya Waisilamu?😁

Hahaha... Dogo!
Ndiyo maana kwa sasa huko Ulaya wanarudishwa makwao kwani hawataki kufanya kazi na kuchangia maendeleo ya nchi zinazowafadhili, eti mtu anaona ufahari karne hii ya 21 kukaa tu nyumbani na kutunzwa na wazungu huku akisali mara 5 kwa siku na kuzaana tu.
 
Watakuja kutuchukuwa sisi wakristo wenzao wa Africa tunaowapenda na wao wanatupenda sana .. tukajenge makanisa mapya ya Ufunuo.
Imani ya Mkristo haipo kwenye Majengo, ipo kwenye vitendo.
 
Wacanada nao wawapunguze wadosi
Wadosi hawana shida na mtu, wakiingia Canada wanajitahidi kuwa Canadian na kuishi na wazungu bila matatizo, tatizo la wenzetu wakiingia sehemu wanataka kila mtu awe kama wao na akili yao wanaamini kuzaa watoto kumi na tano wakiwa wengi watakuja kutawala sehemu iliyowakaribisha, mfano wasomali in US ndio wanachofanya kuzaa watoto wengi huku hawadumii wanategemea food stamp na section 8 za serikali lakini matokeo yake watoto wote wanaishi kuwa ghetto tuu na gangs, miji kama Minneapolis sasa wasomali ni disaster na wanauana kuliko African Americans na ndio wanaongoza kwenye drugs, hizi nchi za wenzetu ukiishi kwa akili zako za Manzese utaishia manzese tuu, naona experiment yao ya kuzaa ili kutawala imeishia kujaza jela za Marekani tuu, sad indeed
 
Wazungu ndio haswa kwenye hili hata lugha wanalazimisha uongee lugha yao pesa ya Burundi Congo jina ni Francis hata hao Wazungu hawaiti hivo siku hizi pesa zao ni Euro lakini huku afrika bado ni Francis..kwenye watoto Wa Eritrea unawajuwa wewe tena ni wakristo wenzio ushawaona wanavozaa??? Nenda Netherlands Wasurinamo ushaona wanavozaana tena ni wakristo wenzio vuka mpaka nenda Belgium wayahudi wanazaana kama funza na wapo ugenini..wacha chuki kwa hao wasomali ndugu.
 
Wadosi hawana shida na mtu, wakiingia Canada wanajitahidi kuwa Canadian na kuishi na wazungu bila matatizo, tatizo la wenzetu wakiingia sehemu wanataka kila mtu awe kama wao na akili yao wanaamini kuzaa watoto kumi na tano wakiwa wengi watakuja kutawala sehemu iliyowakaribisha, mfano wasomali in US ndio wanachofanya kuzaa watoto wengi huku hawadumii wanategemea food stamp na section 8 za serikali lakini matokeo yake watoto wote wanaishi kuwa ghetto tuu na gangs, miji kama Minneapolis sasa wasomali ni disaster na wanauana kuliko African Americans na ndio wanaongoza kwenye drugs, hizi nchi za wenzetu ukiishi kwa akili zako za Manzese utaishia manzese tuu, naona experiment yao ya kuzaa ili kutawala imeishia kujaza jela za Marekani tuu, sad indeed
Mdosi hana tofauti na msomali Canada hameiharibu imekuwa kama third world, lengo lao waitawale
 
hii dunia kila mtu ana uhuru wa kwenda sehemu anayoitaka ilimradi ukidhi vigezo vya kuingia nchi hiyo, kuna wazungu wahindi, wakristo ,waislamu nakadhalika kila nchi iwe uarabuni iwe marekani ,
ila wazayuni hawatakiw kuwepo hapo middle east [emoji23][emoji23]
 
Mdosi hana tabu na ntu,ye akila biriani masala na pilipili bhaas kila kitu hewala kwake anatikisa kichwa ty.
Wadosi na wafilipino huwajui vizuri Wabaguzi kinoma na wako tayari kufanya kazi kwa malipo ya chini
 
Wadosi na wafilipino huwajui vizuri Wabaguzi kinoma na wako tayari kufanya kazi kwa malipo ya chini
Mi nisiwajue wakati ni bosi wao,
Ubaguzi watakuletea km unafagia na kuzoa taka au kuosha vyombo.
Sasa wakute we ndo unawatuma hata magoti atapiga kila akiona umeingia kazini.
Nishawakimbiza kama wa5 hivi kwa kutoleta ushirikiano.
 
Unafiki huu hapa wa Netanyahu
Screenshot_20231026_185110_Chrome~2.png
 
Back
Top Bottom