Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Bila msaada wa USA huyo mrusi alikuwa anakimbilia China.Wajerumani nao kwa gubu au bado wana kisasi tangu walivyopelekewa moto mwaka 45 na Mrusi , shida ya mrusi utampiga weee ukishaamini kachoka kabisa huyu ndio anaamka na kuanza kukushambulia ukasimulie mbele huko
Huo mkataba umewahi kuuona au unasikia sikia tu kuna mkataba .Kabla ya kumlaumu Putin zilaumu nchi za magharibi kwa kuvunja mkataba wao waliojiwekea na Urusi kuhusu kujitanua kuelekea kwa mwenzake. Putin ana haki ya kujilinda pia
Haya maujinga huwa mnamezeshwa wapi ?Kwa sasa mataifa mengi ya Ulaya, Yale matabe ikiwemo Ujerumani, Yana hali mbaya kiuchumi, maendeleo yao kiteknolojia ni duni, hayana rasilimali watu (vijana) ndio maana yanapokea maelekezo toka US na kutii.
Hayana hata nishati ya bei nafuu, je unadhani watatamani vita?
Putin amefanya jambo gani la maana? Huyu ndiye chanzo cha yote haya.
Kivipi amekuwa chanzo?Putin amefanya jambo gani la maana? Huyu ndiye chanzo cha yote haya.
Uhalali na uharamu wa Vita za mabeberu unaruhusu nini sisi ?hv Putin angetoa majeshi ndan ya Ukraine tungefika huku ?je ni halali Urusi KUVAMIA Ukraine ? Watu kama ww soon mtaweuka
Ila russia anayo mitambo ya kuzuia au siyoHizo ni propanda za mitandaoni zisizo za kweli!
Hata majeshi ya NATO kiasi gani yakusanyike Ukraine hayawezi kuzuia makombora ya Nuklea wala hawana mitambo ya kuzuia.
Hujui Historia, Ujerumani imeikalia USSR Miaka 3.Urusi ilishaanza kuidhibiti Ujerumani kabla hata washirika hawajaja.
Hao washirika wanakuja Ujerumani imeshaanza kuanguka na Urusi imeshaingia mlangoni mwa Ujerumani kitambo.
Msipindishe historia wakuu.
Kwa hivyo hata washirika wasingekuja basi Urusi ingekamilisha kazi peke yake.
Wewe mwenye uhakika ni nabii wa wapi kama sio mla magimbi tu wa hapo Melela Njia Panda.HUna uhakika huo unajisemesha
Kadanganye watoto wenzako.Hujui Historia, Ujerumani imeikalia USSR Miaka 3.
Silaha za Marekani Ndio ziliokoa Ulaya na China kuanguka.
Ulaya Magharibi ilibaki UK tu Ndio haikukaliwa na Ujerumani...
Humu JamiiForums huwa mnakaa na kudanganyana kuwa Marekani inaweza kupigwa na Iran sijui utopolo Gani...
Hadi sasa USA Ndio nchi pekee yenye expedition capabilities, hakuna nchi inaweza kushinda USA kwenye conventional war, hakuna.
Bahati nzuri USA waliamua kuwa kama Roman Republic not Roman Empire
Russia akimfungia koki ya gesi atarudi kwenye makaa ya mawe kuendesha nchi yake!Urusi ilishaanza kuidhibiti Ujerumani kabla hata washirika hawajaja.
Hao washirika wanakuja Ujerumani imeshaanza kuanguka na Urusi imeshaingia mlangoni mwa Ujerumani kitambo.
Msipindishe historia wakuu.
Kwa hivyo hata washirika wasingekuja basi Urusi ingekamilisha kazi peke yake.
Hiyo WW ndiyo mara ya kwanza kutokea HADI Leo ikawe mwisho WA DuniaUkiona hayo ujue kuwa mwisho umekaribia
Tutubu na kumrudia YESU KRISTO maana ufalme wake umekaribia