Ujerumani inajiandaa na WWIII? Taarifa zilizovuja zaonesha kuwa inaandaa wanajeshi 800,000 kwa ajili ya kupambana na Urusi

Ujerumani inajiandaa na WWIII? Taarifa zilizovuja zaonesha kuwa inaandaa wanajeshi 800,000 kwa ajili ya kupambana na Urusi

Wajerumani nao kwa gubu au bado wana kisasi tangu walivyopelekewa moto mwaka 45 na Mrusi , shida ya mrusi utampiga weee ukishaamini kachoka kabisa huyu ndio anaamka na kuanza kukushambulia ukasimulie mbele huko
Bila msaada wa USA huyo mrusi alikuwa anakimbilia China.
 
Kabla ya kumlaumu Putin zilaumu nchi za magharibi kwa kuvunja mkataba wao waliojiwekea na Urusi kuhusu kujitanua kuelekea kwa mwenzake. Putin ana haki ya kujilinda pia
Huo mkataba umewahi kuuona au unasikia sikia tu kuna mkataba .
 
Kwa sasa mataifa mengi ya Ulaya, Yale matabe ikiwemo Ujerumani, Yana hali mbaya kiuchumi, maendeleo yao kiteknolojia ni duni, hayana rasilimali watu (vijana) ndio maana yanapokea maelekezo toka US na kutii.
Hayana hata nishati ya bei nafuu, je unadhani watatamani vita?
Haya maujinga huwa mnamezeshwa wapi ?
 
hv Putin angetoa majeshi ndan ya Ukraine tungefika huku ?je ni halali Urusi KUVAMIA Ukraine ? Watu kama ww soon mtaweuka
Uhalali na uharamu wa Vita za mabeberu unaruhusu nini sisi ?

Wazungu kwenye rasilimali za asili ni hatari kuliko shetani mwenyewe.
Hebu fikiri kama wanauana kwa kiwango hicho sisi si wamqhatumaliza kabla ya vita kuanza.
 
Hizo ni propanda za mitandaoni zisizo za kweli!
Hata majeshi ya NATO kiasi gani yakusanyike Ukraine hayawezi kuzuia makombora ya Nuklea wala hawana mitambo ya kuzuia.
Ila russia anayo mitambo ya kuzuia au siyo
 
Urusi ilishaanza kuidhibiti Ujerumani kabla hata washirika hawajaja.
Hao washirika wanakuja Ujerumani imeshaanza kuanguka na Urusi imeshaingia mlangoni mwa Ujerumani kitambo.
Msipindishe historia wakuu.
Kwa hivyo hata washirika wasingekuja basi Urusi ingekamilisha kazi peke yake.
Hujui Historia, Ujerumani imeikalia USSR Miaka 3.

Silaha za Marekani Ndio ziliokoa Ulaya na China kuanguka.

Ulaya Magharibi ilibaki UK tu Ndio haikukaliwa na Ujerumani...

Humu JamiiForums huwa mnakaa na kudanganyana kuwa Marekani inaweza kupigwa na Iran sijui utopolo Gani...

Hadi sasa USA Ndio nchi pekee yenye expedition capabilities, hakuna nchi inaweza kushinda USA kwenye conventional war, hakuna.

Bahati nzuri USA waliamua kuwa kama Roman Republic not Roman Empire
 
ivi ikitokea vita hiyo,ujeruman akapigwa na eneo lake kutwaliwa na urusi je urusi kujimilikisha eneo hilo itakubalika ama hapana baada ya vita wataomba lirudishwe
 
Hujui Historia, Ujerumani imeikalia USSR Miaka 3.

Silaha za Marekani Ndio ziliokoa Ulaya na China kuanguka.

Ulaya Magharibi ilibaki UK tu Ndio haikukaliwa na Ujerumani...

Humu JamiiForums huwa mnakaa na kudanganyana kuwa Marekani inaweza kupigwa na Iran sijui utopolo Gani...

Hadi sasa USA Ndio nchi pekee yenye expedition capabilities, hakuna nchi inaweza kushinda USA kwenye conventional war, hakuna.

Bahati nzuri USA waliamua kuwa kama Roman Republic not Roman Empire
Kadanganye watoto wenzako.
USSR ilishageuza kibao kwenda Berlin.
USA inafika USSR imeshaingia ndani ya Ujerumani muda sana.
Unadhani historia unajua peke yako humu!??

As a matter of conventional war,ni vita moja tu USA ilipigana peke yake na kufanikiwa inaitwa OPERATION CABANATUAN,tofauti na hiyo vita zingine zote peke yake USA HATOBOI.
Au unatuchukulia sisi vichwa maji!?
 
Urusi ilishaanza kuidhibiti Ujerumani kabla hata washirika hawajaja.
Hao washirika wanakuja Ujerumani imeshaanza kuanguka na Urusi imeshaingia mlangoni mwa Ujerumani kitambo.
Msipindishe historia wakuu.
Kwa hivyo hata washirika wasingekuja basi Urusi ingekamilisha kazi peke yake.
Russia akimfungia koki ya gesi atarudi kwenye makaa ya mawe kuendesha nchi yake!

Poland si yule juzi kati alikataa? Mrusi kafunga koki akakimbiloa kwa kasi kulipia gesi kwa hela ya Mrusi.
 
Back
Top Bottom