Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Chemba ndogo ya bunge au "Lower House" ya Ujerumani imepitisha kwa pamoja uamuzi wa kumfanya bwana Olaf Scholz kuwa Kansela mpya wa Ujerumani.
Vyama vya SPD cha Scholz, Green na FDP kwa pamoja leo asubuhi hii vimemuidhinisha bwana Olaf Scholz kuwa kansela mpya na kuondpoa uhafidhina wa chama cha SPD wa kutawala nchi hiyo tangia miaka ya 1950.
Kila chama kikiwa na mlengo wake SPD (Uhafidhina), Greens masuala ya mazingira, waliberari FDP wote kwa pamoja wameahidi serikali yenye kuijenga Ujerumani kiuchumi kwa kuimarisha miundombinu na pia kuboresha zaidi mazingira na uchumi wa kidijitali.
Hawa wazungu wamekaa pamoja bungeni na wameazimia kuwa pamoja ili kuijenga nchi hiyo ambayo ni ya kwanza kwa uchumi mkubwa barani Ulaya bila kujali siasa za vyama vingi.
Bwana Scholz anatarajiwa kuapishwa rasmi mapema mwezi ujao.
Kukiwa na siasa za vyama vingi haimaanishi kuwa vyama vingine vya upinzani havina sera nzuri za kuijenga nchi.
Pia hakuna chama chenye hati miliki ya kushikilia madaraka kwa miongo kadhaa.
Tanzania mwezi ujao itaadhimisha miaka 60 ya uhuru huku sehemu kubwa ya watu wake wakikabiliwa na matatizo ya maji na umeme, miundombinu mibovu na Ufisadi ulopita kiwango!