Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na uzuri wao sio mashoga Kama wa Ukraine,US,UK etcShida ya RUSSIA wanajeshi ni walevi wamechokaaa Mpaka unashangaa.
Russia ina nguvu kijeshi kuliko mataifa yote ya Ulaya
Kasenge hako
Russia haijawahi kuwa Mwamba wa ulimwengu. Ujerumani na Italia ni wahanga wa WWI na WWII hivyo wanaogopa kujiingiza kwenye mambo ya vita yasije yakawatokea ya vita nilivyotaja awali. Norwy na wengine kuitambua Palestine is just a piece cake!Italy na Germany wanaujua mtiti wa Russia ndio maana wamekataa. Ni wanafunzi wazuri wa historia
Russia ni lidude fulani ambalo sio la kuingilia kichwakichwa
Achana russia, wababe wa vita,, vodka country,, war mongasRussia haijawahi kuwa Mwamba wa ulimwengu. Ujerumani na Italia ni wahanga wa WWI na WWII hivyo wanaogopa kujiingiza kwenye mambo ya vita yasije yakawatokea ya vita nilivyotaja awali. Norwy na wengine kuitambua Palestine is just a piece cake!
Hakuna kanchi kokote kaulaya kanachoweza kuingia vitani na RussiaRussia haijawahi kuwa Mwamba wa ulimwengu. Ujerumani na Italia ni wahanga wa WWI na WWII hivyo wanaogopa kujiingiza kwenye mambo ya vita yasije yakawatokea ya vita nilivyotaja awali. Norwy na wengine kuitambua Palestine is just a piece cake!
Bahati mbaya tuna reference ya Russia kupigana na Finland kwa miaka mitatu na vita iliisha duroo! Just imagine, Finland! Ingekuwa France au Uingereza je? Ahahahahaha!!!Hakuna kanchi kokote kaulaya kanachoweza kuingia vitani na Russia
Ndio maana nikasema Italy na Germany ni wanafunzi wazuri wa history
Baadhi ya nchi za Ulaya kuitambua Palestine ni ushindi kwa Palestine
Napoleon Bonaparte na Adolf HitlerBahati mbaya tuna reference ya Russia kupigana na Finland kwa miaka mitatu na vita iliisha duroo! Just imagine, Finland! Ingekuwa France au Uingereza je? Ahahahahaha!!!
Mkuu, historia ya hiyo vita umeisoma kweli au umeamua tu kuandika hivyo?Bahati mbaya tuna reference ya Russia kupigana na Finland kwa miaka mitatu na vita iliisha duroo! Just imagine, Finland! Ingekuwa France au Uingereza je? Ahahahahaha!!!
Historia ya vita aliyoiweka siyo sahihi!Napoleon Bonaparte na Adolf Hitler
Wanawajua vizuri Russia
Wanajua hao wanywa vodka ni vichaa kwenye kutetea nchi yao
Najua hilo mimi nimemtolea tu uhalisia wa ufaransa na ujerumaniHistoria ya vita aliyoiweka siyo sahihi!
Historia ya kweli ni kuwa; Finland ilishindwa na kuchukuliwa 10% ya nchi yake.
Uingereza na France hazifikii nguvu ya kijeshi ya RussiaBahati mbaya tuna reference ya Russia kupigana na Finland kwa miaka mitatu na vita iliisha duroo! Just imagine, Finland! Ingekuwa France au Uingereza je? Ahahahahaha!!!
Sina hakika kama upo sahihi. Napoleon Bonaparte hakushindwa vita na Russia chini ya Alexander the Great bali they made a truce. Adolf Hitler ali missculculate. Alienda kumvamia Russia akamdharau Uingereza ambaye alimshambulia akiwa Russia.Napoleon Bonaparte na Adolf Hitler
Wanawajua vizuri Russia
Wanajua hao wanywa vodka ni vichaa kwenye kutetea nchi yao
Ahahahahaha!Mkuu, historia ya hiyo vita umeisoma kweli au umeamua tu kuandika hivyo?
Ahahahahaha!!!Uingereza na France hazifikii nguvu ya kijeshi ya Russia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Historia iyo umeitowa wapiSina hakika kama upo sahihi. Napoleon Bonaparte hakushindwa vita na Russia chini ya Alexander the Great bali they made a truce. Adolf Hitler ali missculculate. Alienda kumvamia Russia akamdharau Uingereza ambaye alimshambulia akiwa Russia.
Wajerumani awakuamini kilichowakuta kule Staligrad.uwo mji ukingia tu kichwa kichwa basi Warusi wanasherekea maana kuna muda unakuwa na baridi sio ya kawaida sasa hapo ndo miujiza inapoanza.vifaru vya Warusi vilikuwa vinatembea ila vya wajerumani vinaganda.jeshi kubwa sana la hitler liliteketea hapo.Sina hakika kama upo sahihi. Napoleon Bonaparte hakushindwa vita na Russia chini ya Alexander the Great bali they made a truce. Adolf Hitler ali missculculate. Alienda kumvamia Russia akamdharau Uingereza ambaye alimshambulia akiwa Russia.
Ahahahahaha!!!Wajerumani awakuamini kilichowakuta kule Staligrad.uwo mji ukingia tu kichwa kichwa basi Warusi wanasherekea maana kuna muda unakuwa na baridi sio ya kawaida sasa hapo ndo miujiza inapoanza.vifaru vya Warusi vilikuwa vinatembea ila vya wajerumani vinaganda.jeshi kubwa sana la hitler liliteketea hapo.
Yani kiufupi kama ulikuwa ujui ni kwamba asilimia 85 ya jeshi la Hitler lilimalizwa na Warusi