Ujerumani yaipa Tanzania msaada wa Tsh. Bilioni 56.3 kuboresha Haki za Binadamu

Ujerumani yaipa Tanzania msaada wa Tsh. Bilioni 56.3 kuboresha Haki za Binadamu

Hivi fedha ni jambo la kimuungano?kwanini iende zanzibar wakati kodi yao wanzanzibar wanaitumia wao pekee afu sisi watanganyika ndio tuje tulipie huu mkopo?
 
Ikisemwa haki za binaadam tayari ni Mashoga, kwa hiyo nyie wengine mmekubali ni Wanyama
 
Kwahiyo serekali imeanza kutumika na mabeberu ili kutaka kuharibu amani ya nchi?

Serikali imekuwa ikopokea misaada kwa hao so called mabeberu tokea uhuru mpaka leo.
Serikali imekuwa ikipokea misaada kwa ajili ya manufaa ya nchi.
Kama wangekuwa wana lengo la kuharibu amani ya nchi nchi ingeshavurugwa tokea uhuru huko
 
Wakipokea serekali ndio sahihi, ila wakipokea wapinzani ni za mabeberu wanaotaka kuharibu amani ya nchi! Au ni mambo ya kunya anye kuku, akinya Bata kaharisha.
 
Wakipokea serekali ndio sahihi, ila wakipokea wapinzani ni za mabeberu wanaotaka kuharibu amani ya nchi! Au ni mambo ya kunya anye kuku, akinya Bata kaharisha.

No about that sina la kusema. ninachojua kitu kinaitwa mabeberu ni politics. Hakuna mabeberu kwenye pesa
 
10 billion kusimamia usimamizi bora wa fedha za umma🙌🏿
Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, imetia saini ya Mkataba huo kupitia Shirikisho la...
 
Back
Top Bottom