Ujerumani yaishutumu Iran kwa kuishambulia Israel maajabu duniani hayawezi kwisha

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
6,406
Reaction score
12,736
Taarifa ya wizara ya mambo ya nje ya Ujerumani baada ya mashambulizi ya Israel katika nchi ya Iran.

Taarifa ikiishutumu Iran kwa kuishambulia Israel.

Inaonekana Ujerumani inateswa na historia yake

Hali ya Mashariki ya Kati imezidi kuwa mbaya kwa kasi kubwa usiku wa kuamkia leo. Israel imefanya mashambulizi ya kulenga vituo vya nyuklia vya Iran. Iran nayo inajibu kwa kushambulia Israel kwa mamia ya ndege zisizo na rubani (drones). Tukio hili ni la kutisha kwa kiwango kikubwa.

Tunalaani vikali shambulio holela la Iran dhidi ya maeneo ya Israel. Mpango wa nyuklia wa Iran unakiuka Mkataba wa Kuzuia Ueneaji wa Silaha za Nyuklia (Non-Proliferation Treaty – NPT) na ni tishio kwa usalama wa eneo zima – hususan kwa Israel.

Israel ina haki ya kujilinda na kulinda usalama wa raia wake. Hata hivyo, tunatoa wito kwa pande zote kujiepusha na kuchochea mzozo zaidi. Ujerumani inasalia kujitolea kwa njia ya kidiplomasia – kwa kushirikiana na washirika wetu barani Ulaya na Marekani.
 
MARA NYINGI IRAN INATUMA MAMLUKI WAKE KUISHAMBULIA ISRAEL KWA MAROKETI

NADHANI HILI NDO WALIMAANISHA

AFU IRAN WAHINGA KWELI KILA SIKU WANAPIGWA PABAYA ILA HAWAONI WANAVYOPIGWA SEBULENI KABISA
 
Nioneshe kwenye taarifa mahali walipo maanisha haya uliyo zungumza ?
 
Hiyo itakuwa waliiandaa ili waitoe pale Iran atakapolipa kisasi hivi punde ila wamekosea kuwahi kuitoa
Kwan huju Hizbollah , houthi na Hamas ni vikundi vya Iran anitumia dhidi ya wayaud na waislam jamii ya sunni
 
Taarifa ya wizara ya mambo ya nje ya Ujerumani baada ya mashambulizi ya Israel katika nchi ya Iran.

Taarifa ikiishutumu Iran kwa kuishambulia Israel.

Inaonekana Ujerumani inateswa na historia yake

Hali ya Mashariki ya Kati imezidi kuwa mbaya kwa kasi kubwa usiku wa kuamkia leo. Israel imefanya mashambulizi ya kulenga vituo vya nyuklia vya Iran. Iran nayo inajibu kwa kushambulia Israel kwa mamia ya ndege zisizo na rubani (drones). Tukio hili ni la kutisha kwa kiwango kikubwa.

Tunalaani vikali shambulio holela la Iran dhidi ya maeneo ya Israel. Mpango wa nyuklia wa Iran unakiuka Mkataba wa Kuzuia Ueneaji wa Silaha za Nyuklia (Non-Proliferation Treaty – NPT) na ni tishio kwa usalama wa eneo zima – hususan kwa Israel.

Israel ina haki ya kujilinda na kulinda usalama wa raia wake. Hata hivyo, tunatoa wito kwa pande zote kujiepusha na kuchochea mzozo zaidi. Ujerumani inasalia kujitolea kwa njia ya kidiplomasia – kwa kushirikiana na washirika wetu barani Ulaya na Marekani.
Holocaust inamsumbua,analazimika kujikomba 😀😂😂
 
Nioneshe kwenye taarifa mahali walipo maanisha haya uliyo zungumza ?

Haya kama hutaki ngoja na mimi nitoe taarifa yangu rasmi.

Mheshimiwa Ngongo analaani Israel kwa kuitandika Iran na kuwauwa mageneral wake wakuu.
 
Kwa shambulio hili alilolipata Iran, vikundi vyake vyote vya kigaidi vitaishiwa nguvu​
 
Kwan huju Hizbollah , houthi na Hamas ni vikundi vya Iran anitumia dhidi ya wayaud na waislam jamii ya sunni
Hapo umezidisha sasa na wasunni tena?
Wapi na wapi msunni na mshia kisiasa na kiitikadi?
 
Taarifa ya wizara ya mambo ya nje ya Ujerumani baada ya mashambulizi ya Israel katika nchi ya Iran.

Taarifa ikiishutumu Iran kwa kuishambulia Israel.

Inaonekana Ujerumani inateswa na historia yake

Hali ya Mashariki ya Kati imezidi kuwa mbaya kwa kasi kubwa usiku wa kuamkia leo. Israel imefanya mashambulizi ya kulenga vituo vya nyuklia vya Iran. Iran nayo inajibu kwa kushambulia Israel kwa mamia ya ndege zisizo na rubani (drones). Tukio hili ni la kutisha kwa kiwango kikubwa.

Tunalaani vikali shambulio holela la Iran dhidi ya maeneo ya Israel. Mpango wa nyuklia wa Iran unakiuka Mkataba wa Kuzuia Ueneaji wa Silaha za Nyuklia (Non-Proliferation Treaty – NPT) na ni tishio kwa usalama wa eneo zima – hususan kwa Israel.

Israel ina haki ya kujilinda na kulinda usalama wa raia wake. Hata hivyo, tunatoa wito kwa pande zote kujiepusha na kuchochea mzozo zaidi. Ujerumani inasalia kujitolea kwa njia ya kidiplomasia – kwa kushirikiana na washirika wetu barani Ulaya na Marekani.
Majinga sana mazungu ila ndio hivyo Yana Umoja wa kusaidiana sio kama wale kenge wa kiarabu.
 
Kwan huju Hizbollah , houthi na Hamas ni vikundi vya Iran anitumia dhidi ya wayaud na waislam jamii ya sunni
Kama ilivyo Israeli ni kikundi cha Marekani anakitumia zidi ya palestina na Iran.
 
Back
Top Bottom