MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
NATO mmeanza lini kutoa misaada na imesaidia kitu gani? saivi mmekuja na mbinu ya kijinga kuficha silaha karibu na maghala au viwanda vya Nuklia maana mwanzoni walivyoficha kwenye makazi ya watu walitunguliwa hukohuko na ni suala la muda tu. Hizo silaha zitatunguliwa kwenye hayo maghala na madhara yatawarudia wa ukreine wenyewe
Imesaidia kufuta jeshi la Urusi hadi ameenda kuokoteza huko mitaani na mpaka amehusisha Watanzania na wapiganaji kutoka mataifa mbali mbali ambao wanafyekwa kama senene, yaani Urusi kila nikikumbuka ule mkwara nacheka sana.