Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili ya binadamu ni ya kushangaza sana. Kuna maelfu ya watu wanakufa kila dakika kwa kukosa chakula lakini resources hizi za kivita zinatumia pesa lukuki kila dakika moja. When will men learn to be wise? Mbona mwanadamu anajishusha hadhi hata chini ya hayawani??Ujerumani walikua wanasita kutuma hivi vifaru maana siku zote nia yao ilikua kuisaidia Ukraine kujilinda, ila hivi vifaru balaa yake ni kwamba Ukraine sasa atakua na uwezo wa kupelekea mashambulizi, kwa kifupi sio kujilinda tena ila kulianzisha na kupiga.
Wasiwasi wa Ujerumani ni kwamba Ukraine wanaweza wakanogewa na kumfuata Mrusi mpaka Urusi ndani na kupitiliza Crimea hadi kukoleza vita na kubadilisha hali ambayo dunia inaweza ikaja kujutia maana Mrusi akipelekwa sana ndani anaweza akabonyeza manyuklia.
Nia ilikua kumfikisha Mrusi pale Crimea, ila asipigwe hadi ndani, na Ukraine hawajahakikishia kwamba hawatanogewa.
Hiki kifaru ni balaa sana
![]()
====================
German Chancellor Olaf Scholz has decided to send Leopard 2 tanks to Ukraine, and allow other countries to do the same, reports in Germany say.
Leopard 2s are made in Germany and Berlin needs to approve their export.
Germany has been hesitant to send its own - or allow other nations to send theirs - over concerns it could escalate the conflict with Russia.
But now Mr Scholz has decided to send the at least a company of Leopard 2 A6 tanks, several German outlets say.
MSN
www.msn.com
Nami nimeuliza the sameHIMARS zimeishia wapi
Akili ya binadamu ni ya kushangaza sana. Kuna maelfu ya watu wanakufa kila dakika kwa kukosa chakula lakini resources hizi za kivita zinatumia pesa lukuki kila dakika moja. When will men learn to be wise? Mbona mwanadamu anajishusha hadhi hata chini ya hayawani??
Ww upo dunia gani?Mlisema Russia kaishiwa silaha na wajeda wameishiwa chakula. Ninachoshanga mpaka sasa hamjakomboa jimbo hata moja. NATO sasahivi imekuwa joka la kibisa
Usichokielewa vita inavyozidi kuchukua muda inamdhoofisha Russia kidiplomasia na kiuchumi.Kama anaokoteza Askari na kama kweli kaishiwa silaha hadi ananunua kwa Iran kitu gani kinawafanya NATO bado wamejichimbia makwao na kupeleka silaha dhaifu? Ushawahi hata kuwaza? Unajua Ukraine ana rasilimali nyingi kuliki ulaya hasa za ardhini ndio maana wanamsaidia maeneo anayoyakalia Russia ndio yalihudumia chakula Ulaya na ges na mafuta. Kama Putin kadhoofika wangeshaingia kitambo. Kwanini hawaendi?
Haya mchambuzi kwaio wewe una akili kuliko Putin?Usichokielewa vita inavyozidi kuchukua muda inamdhoofisha Russia kidiplomasia na kiuchumi.
Nahisi ungmesikiliza Kaja Kallas Waziri mkuu wa Estonia anavyoshawishi majirani waende kinyume na Russia kwa kutumia hoja ya vita za 2008 na Georgia na za sasa na Ukraine.
Wamagharibi watu wabaya sana achana nao.
Ukraine toka ipewe silaha imeweza kukomboa miji iloporwa mathalan kharkiv na Lviv,imetoa upinzani mkali Donbas kiasi Putin amefanya millitary mobilisation ya vijana wadogo 300k akiwalazimisha waende vitani.Acha history leta matokeo chanya ya mgawo wa silaga kwa Ukraine?
Ukraine toka ipewe silaha imeweza kukomboa miji iloporwa mathalan kharkiv na Lviv,imetoa upinzani mkali Donbas kiasi Putin amefanya millitary mobilisation ya vijana wadogo 300k akiwalazimisha waende vitani.Acha history leta matokeo chanya ya mgawo wa silaga kwa Ukraine?
Haya mchambuzi kwaio wew
Hayo ndio mafanikio kwa silaha zoooote hizo 😂😂😂😂 leopard2 zimefikia wapiUkraine toka ipewe silaha imeweza kukomboa miji iloporwa mathalan kharkiv na Lviv,imetoa upinzani mkali Donbas kiasi Putin amefanya millitary mobilisation ya vijana wadogo 300k akiwalazimisha waende vitani.
Na sasa Bakhmut kunawaka
Leopard 2 zitatolewa hivi karibuni toka Poland na Estonia.Hayo ndio mafanikio kwa silaha zoooote hizo 😂😂😂😂 leopard2 zimefikia wapi
Kwa kile ambacho hujui ni kwamba Russia anatumia silaha dhaifu akitunza zilizo bora incase NATO wakijichanganyaLeopard 2 zitatolewa hivi karibuni toka Poland na Estonia.
Sasa Kaka kwa nchi Kam Ukraine ambayo ilikua Ina jeshi dogo unadhani ni mafanikio madogo kwa jeshi kama hilo kuirudisha nyuma jeshi la dubu Putin!?
Tafuta makubaliano ya Russia na Ukraine ya kuhusu jeshi la Ukraine liweje kipindi Ukraine inajitoa usoviet
uone kuwa Ukraine ilikua na jeshi dhaifu sana.
Kaka si inasemekana hypersonic missiles Russia anazitumia!?Kwa kile ambacho hujui ni kwamba Russia anatumia silaha dhaifu akitunza zilizo bora incase NATO wakijichanganya
Wanaosema hivyo au idadi ya makombora yaliyorushwa, mangapi yamedunguliwa 😂😂😂😂Kaka si inasemekana hypersonic missiles Russia anazitumia!?
Au hizo pia za zamani!?
Sawa tusem za zamani Ila kumbuka vita itahitaji uchumi wa kuihimili je Russia uchumi huo anao!?
JIRANI yake mwema ni Belarus tu je ata survive NATO akijihusisha directly!?
Una uhakika China na Iran watajihusisha directly ktk vita NATO wakijihusisha !?
Kwani NATO hawan sophisticated weapons!?
Aya muda utaongea kikubwa uhai Kaka.Wanaosema hivyo au idadi ya makombora yaliyorushwa, mangapi yamedunguliwa 😂😂😂😂
Jamaa yupo kimyaa?
Trust me dogo putin is empting his arsenal for new ones
Lets wait and see, kama ulivyosema kikubwa uzimaAya muda utaongea kikubwa uhai Kaka.
Ila katika allience ya Russia, China,Iran,Belarus na India ni China pekeake mjanja hawa wengine wamechelewa wapi sijui.
Machimbo ya kijeshi, silaha n.k ramani zake Russia alikuwa nazo. Hata zile migs za Ukraine mwanzoni mwa Vita hazikuweza kufanya kazi sababu Russia alizihack kwa wepesi sana.Leopard 2 zitatolewa hivi karibuni toka Poland na Estonia.
Sasa Kaka kwa nchi Kam Ukraine ambayo ilikua Ina jeshi dogo unadhani ni mafanikio madogo kwa jeshi kama hilo kuirudisha nyuma jeshi la dubu Putin!?
Tafuta makubaliano ya Russia na Ukraine ya kuhusu jeshi la Ukraine liweje kipindi Ukraine inajitoa usoviet
uone kuwa Ukraine ilikua na jeshi dhaifu sana.
China hawezi kuingia kucheza huu mziki, angekuwa yupo tayar angeanza na Taiwan.Kaka si inasemekana hypersonic missiles Russia anazitumia!?
Au hizo pia za zamani!?
Sawa tusem za zamani Ila kumbuka vita itahitaji uchumi wa kuihimili je Russia uchumi huo anao!?
JIRANI yake mwema ni Belarus tu je ata survive NATO akijihusisha directly!?
Una uhakika China na Iran watajihusisha directly ktk vita NATO wakijihusisha !?
Kwani NATO hawan sophisticated weapons!?