Iran anasuasua kwa mhasimu wake Israel. Akimess tu, anaweza akapata maangamizi makubwa. China akitazama uchumi wake, hawezi kujihusisha na vita.Aya muda utaongea kikubwa uhai Kaka.
Ila katika allience ya Russia, China,Iran,Belarus na India ni China pekeake mjanja hawa wengine wamechelewa wapi sijui.
US amekaa pembeni anatazama tu wanavyo wanavyocheza rumba.