Ujerumani yaruhusu upelekwaji wa vifaru vya Leopard 2 nchini ya Ukraine

Imesaidia kufuta jeshi la Urusi hadi ameenda kuokoteza huko mitaani na mpaka amehusisha Watanzania na wapiganaji kutoka mataifa mbali mbali ambao wanafyekwa kama senene, yaani Urusi kila nikikumbuka ule mkwara nacheka sana.
 
Sasa wakati anaokoteza haya pelekeni madude yenu baada ya wiki mje na mrejesho
 
The Russian battle tanks made during the Soviet era are widely believed to be inferior to the highly advanced modern western battle tanks which are believed by many experts that will be a game changer in the on going war.
 
Kama sio Bulgaria mbona zile siku tatu haziishi hadi wanalazimisha raia wa nchi zingine kuwasaidia kupigana. Bure kabisa.
Mlisema Russia kaishiwa silaha na wajeda wameishiwa chakula. Ninachoshanga mpaka sasa hamjakomboa jimbo hata moja. NATO sasahivi imekuwa joka la kibisa
 
Hivi nyinyi mnao sema hivyo vifaru vya ujerumani havita wasaidia wanajeshi wa Ukraine hivi mnajua wale wanajeshi wa urusi walio kuwa wanavaa makanzu ndio wanaingia vitani walikua wanajiita sijuia chemu chem mnajua walipotelea wapi.
wale chechinia wote walisha pelekwa kibra huwez kuwasikia tena sasa hv hao wagner wenyew wanaendelea kupukutika tu soon putin mwenyew ataenda front
 
Ni tofauti na kilicho vilivyo pelekwa kule Syria na Uturuki? Make vili viliteketezwa
 
Aliokoteza wamefika eneo la mapambano na kufyekwa, pale ni kichinjio na ndio maana umeona mpaka kuna Watanzania akina Bwana Utam walipeleka kiherehere leo ni msiba
Mamluki wenu wanawaumbua baada ya kufaπŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ» kutoka BBC
a Andrew Bagshaw, ambao waliripotiwa kutoweka mashariki mwa Ukraine, wameuawa, familia zao zimesema.

Bw Bagshaw, 47, na Bw Parry, 28, walionekana mara ya mwisho wakielekea katika jiji la Soledar tarehe 6 Januari.

Familia ya Bw Bagshaw ilisema kuwa wawili hao walikuwa wakijaribu kumwokoa mwanamke mzee wakati magari yao yaliposhambuliwa.

Familia ya Bw Parry ilisema watu hao walifariki walipokuwa "wakijaribu kuwahamisha watu."

Mapema mwezi huu, kundi la mamluki la Urusi Wagner lilidai kuwa mwili wa mmoja wa watu hao ulikuwa umepatikana.

Soledar ilikuwa kitovu cha mapigano makali na mapema mwezi huu jeshi la Urusi lilidai kuuteka mji wa Ukraine wa mgodi wa chumvi baada ya vita vikali.
 
Kuna coalition inaundwa ikiongozwa na Poland ya kutuma hivyo vifaru,jumla ya nchi kama 10 hivi au zaidi kama sikosei....kila nchi itadonate leopard kadhaa, zinaweza fika 100.
 
Hivi nyinyi mnao sema hivyo vifaru vya ujerumani havita wasaidia wanajeshi wa Ukraine hivi mnajua wale wanajeshi wa urusi walio kuwa wanavaa makanzu ndio wanaingia vitani walikua wanajiita sijuia chemu chem mnajua walipotelea wapi.
Chemu chem[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Urusi ndio muasisi wa kuficha silaha kwenye vinu vya nyuklia bila kusahau kufanya mashambulizi ya maroketi kutokea kwenye Nuclear Power plant

Urusi ndio muasisi wa kuficha silaha kwenye vinu vya nyuklia bila kusahau kufanya mashambulizi ya maroketi kutokea kwenye Nuclear Power plant

Video za kuokoteza hizi leta link Russia anashikilia vinu viwili vya Ukrein na ukrein alianza kushambulia hicho kinu.

ila Ukreine anaficha Silaha mbalimbali na anazopewa na NATO kwenye vinu vyake mbalimbali?
 
Hao ni mashujaa wa kweli, ndio wanapaswa kupewa mabikira huko peponi sio hayo makatuni yenu, vifo vyao vitakumbukwa na vitukuu kwamba walisimamia haki, walipigana kwa ajili ya haki na kumlemaza mdhulumaji ambaye sasa hivi jeshi lake limefyekwa mpaka anaomba msaada kote ikiwemo Watanzania.
 
Mtaendelea kuletea mizoga yenu mui-leble "mashujaa" πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Mlisema Russia kaishiwa silaha na wajeda wameishiwa chakula. Ninachoshanga mpaka sasa hamjakomboa jimbo hata moja. NATO sasahivi imekuwa joka la kibisa
Joka la kibisa ni yule anayepeleka wafungwa kwenye vita kwa nguvu baada ya askari wake wengi kuuawa na wengine kujeruhiwa baada ya kushindwa kumaliza vita kwa siku tatu.
 
Vifaru maana yake ni kwenda kufanya offense
 
Tactically Russia sidhani kama anaweza modern warfares kama westerners. HIMARS zilianza kwenda hapo Ukraine hazikuzidi hata 10, zilikuwa 4 au 6 tu.

Hii ni kwamba unaipeleka silaha vitani ili utazame uwezo wake, adui atatumia adui gani kupambana nayo n.k ukishapata majibu mazuri ya research yako, unaongeza mzigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…