Ujerumani yaruhusu upelekwaji wa vifaru vya Leopard 2 nchini ya Ukraine

Hata Wao na USA watoe Bombers 100 wata nyooka tu
 
Akili ya binadamu ni ya kushangaza sana. Kuna maelfu ya watu wanakufa kila dakika kwa kukosa chakula lakini resources hizi za kivita zinatumia pesa lukuki kila dakika moja. When will men learn to be wise? Mbona mwanadamu anajishusha hadhi hata chini ya hayawani??
 
Hao wanaompigania "allah" wao ndio tatizo maana hawaachi tuishi kwa amani, wanajilipua lipua hivyo inabidi wafuatwe wawahiwe kwenye kulipuliwa.
 
Mlisema Russia kaishiwa silaha na wajeda wameishiwa chakula. Ninachoshanga mpaka sasa hamjakomboa jimbo hata moja. NATO sasahivi imekuwa joka la kibisa
Ww upo dunia gani?
Kharkiv na Lviv ni miongoni mwa maeneo yaliyokombolewa na Ukraine.
 
Usichokielewa vita inavyozidi kuchukua muda inamdhoofisha Russia kidiplomasia na kiuchumi.
Nahisi ungmesikiliza Kaja Kallas Waziri mkuu wa Estonia anavyoshawishi majirani waende kinyume na Russia kwa kutumia hoja ya vita za 2008 na Georgia na za sasa na Ukraine.
Wamagharibi watu wabaya sana achana nao.
 
Haya mchambuzi kwaio wewe una akili kuliko Putin?
 
Acha history leta matokeo chanya ya mgawo wa silaga kwa Ukraine?
Ukraine toka ipewe silaha imeweza kukomboa miji iloporwa mathalan kharkiv na Lviv,imetoa upinzani mkali Donbas kiasi Putin amefanya millitary mobilisation ya vijana wadogo 300k akiwalazimisha waende vitani.
Na sasa Bakhmut kunawaka
 
Na sasa Bakhmut kunawaka.

Kaka labda Nikuulize Putin ni Mungu mpaka awe sahihi kwa kila Jambo analolipanga?
Bashar Assad aliamini kama Putin kuwa raia hawataweza kumpinga na sasa nadhani unajua kinachoendelea Syria.
Haya mchambuzi kwaio wew
 
Ukraine toka ipewe silaha imeweza kukomboa miji iloporwa mathalan kharkiv na Lviv,imetoa upinzani mkali Donbas kiasi Putin amefanya millitary mobilisation ya vijana wadogo 300k akiwalazimisha waende vitani.
Na sasa Bakhmut kunawaka
Hayo ndio mafanikio kwa silaha zoooote hizo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ leopard2 zimefikia wapi
 
Hayo ndio mafanikio kwa silaha zoooote hizo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ leopard2 zimefikia wapi
Leopard 2 zitatolewa hivi karibuni toka Poland na Estonia.
Sasa Kaka kwa nchi Kam Ukraine ambayo ilikua Ina jeshi dogo unadhani ni mafanikio madogo kwa jeshi kama hilo kuirudisha nyuma jeshi la dubu Putin!?
Tafuta makubaliano ya Russia na Ukraine ya kuhusu jeshi la Ukraine liweje kipindi Ukraine inajitoa usoviet
uone kuwa Ukraine ilikua na jeshi dhaifu sana.
 
Kwa kile ambacho hujui ni kwamba Russia anatumia silaha dhaifu akitunza zilizo bora incase NATO wakijichanganya
 
Kwa kile ambacho hujui ni kwamba Russia anatumia silaha dhaifu akitunza zilizo bora incase NATO wakijichanganya
Kaka si inasemekana hypersonic missiles Russia anazitumia!?
Au hizo pia za zamani!?
Sawa tusem za zamani Ila kumbuka vita itahitaji uchumi wa kuihimili je Russia uchumi huo anao!?
JIRANI yake mwema ni Belarus tu je ata survive NATO akijihusisha directly!?
Una uhakika China na Iran watajihusisha directly ktk vita NATO wakijihusisha !?
Kwani NATO hawan sophisticated weapons!?
 
Wanaosema hivyo au idadi ya makombora yaliyorushwa, mangapi yamedunguliwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Jamaa yupo kimyaa?

Trust me dogo putin is empting his arsenal for new ones
 
Wanaosema hivyo au idadi ya makombora yaliyorushwa, mangapi yamedunguliwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Jamaa yupo kimyaa?

Trust me dogo putin is empting his arsenal for new ones
Aya muda utaongea kikubwa uhai Kaka.
Ila katika allience ya Russia, China,Iran,Belarus na India ni China pekeake mjanja hawa wengine wamechelewa wapi sijui.
 
Aya muda utaongea kikubwa uhai Kaka.
Ila katika allience ya Russia, China,Iran,Belarus na India ni China pekeake mjanja hawa wengine wamechelewa wapi sijui.
Lets wait and see, kama ulivyosema kikubwa uzima
 
Machimbo ya kijeshi, silaha n.k ramani zake Russia alikuwa nazo. Hata zile migs za Ukraine mwanzoni mwa Vita hazikuweza kufanya kazi sababu Russia alizihack kwa wepesi sana.

NATO hawakuwa wajinga toka 2014 kuanza kuwachukua Ukraine ktk hii medani. Na isingekuwa NATO, Ukraine ingeshamezwa muda sana.

Mpaka sasa ni lazima Russia achukue baadhi ya maeneo ili vita viendelee kwa muda mrefu, hili ndilo lengo la NATO, walitamka hivi mwanzoni kabisa mwa VITA.
 
China hawezi kuingia kucheza huu mziki, angekuwa yupo tayar angeanza na Taiwan.

China aliona kabisa, kama Russia anapukutishwa hivi, basi yeye kwa Taiwan ilosukwa na US kwa muda mrefu hataiweza abadani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…