A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 21,058 Reaction score 36,272 Mar 9, 2023 #61 Kosugi said: Aya muda utaongea kikubwa uhai Kaka. Ila katika allience ya Russia, China,Iran,Belarus na India ni China pekeake mjanja hawa wengine wamechelewa wapi sijui. Click to expand... Iran anasuasua kwa mhasimu wake Israel. Akimess tu, anaweza akapata maangamizi makubwa. China akitazama uchumi wake, hawezi kujihusisha na vita. US amekaa pembeni anatazama tu wanavyo wanavyocheza rumba.
Kosugi said: Aya muda utaongea kikubwa uhai Kaka. Ila katika allience ya Russia, China,Iran,Belarus na India ni China pekeake mjanja hawa wengine wamechelewa wapi sijui. Click to expand... Iran anasuasua kwa mhasimu wake Israel. Akimess tu, anaweza akapata maangamizi makubwa. China akitazama uchumi wake, hawezi kujihusisha na vita. US amekaa pembeni anatazama tu wanavyo wanavyocheza rumba.