FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Wanashauri mchanganyiko usiwe na vitu vingi sana. Chagua nafaka moja na protin eg. Mahindi(usikoboe) weka na karanga au hata dona pekee tu basi kisha uwe unapika na maziwa. Kumbuka kumlisha vitu vingine kama mboga mboga,juisi,matunda,nyama samaki...kila raheli
FL hongera unanitamanisha jamani mwenzio. Dona huwa ni zuri pia kwa afya
Habari zenu wadau ni masiku mengi sijatia mguu ndani hapa ila leo naomba msaada ,
Ni mchanganyiko upi wa vyakula unaomfaa mtoto wa kuanzia miezi mitano.....
maana wengine wanasema
Dagaa,mahindi ,maharage ,karanga nk ni
mahindi ,soya ,karanga ,ulezi ,mtama nk nk
Mahindi ya bisi,uwele,ngano,karanga,soya nk nk
Kwa anayejua ni vitu vziuri vikichanganywa msaada tafadhari
wenu Mtiifu
FL1
Ngano kg 5, (kaanga- Korosho 1/2kg, Kunde 1/2kg, Mbaazi1/2kg, Njugumawe 1/2) Ufuta1/2kg, Unga wa ubuyu1kg,) karafuu ya 1000/=, Iliki ya1000, . Usage alafu kupika ni dk10
Karafuu? Iliki? Seriously???
Iriki huwa naona wanaweka uji unakuwa na radha na harufu fulani hivi nzuri............
unga wa ubuyu ndio na mie nimesikia leo
Mtoto wangu hana appetite. Kuna mama aliniambia nimpe unga wa ubuyu nitie maji na sukari. Kana juice vile.
Sasa kama unachanganya na uji wa ulezi inakuwaje!!!!!!!!!!inakuwa kabla hujaenda kusaga ama!!!!!
hiyo imemsaidia mtoto wetu lakin!!!!!ni he/she??????/
Mmmm unga wa ubuyu unafaida gan kweny haya mambo
Sasa kama unachanganya na uji wa ulezi inakuwaje!!!!!!!!!!inakuwa kabla hujaenda kusaga ama!!!!!
hiyo imemsaidia mtoto wetu lakin!!!!!ni he/she??????/
Jitahidi ulezi usizidi sana lakini ukizidi kwenye mchanganyiko mara nyingine mtoto hupata choo kigumu..