The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,537
Huu mchanganyiko unakua na ladha gani?? Unalika??
Dagaa kwenye uji?? Lazima iwe na ladha isiyopita kooni..
huwezi amini harufu ya dagaa hutaisikia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu mchanganyiko unakua na ladha gani?? Unalika??
Dagaa kwenye uji?? Lazima iwe na ladha isiyopita kooni..
asante Mama muuza
Ngano kg 5, (kaanga- Korosho 1/2kg, Kunde 1/2kg, Mbaazi1/2kg, Njugumawe 1/2) Ufuta1/2kg, Unga wa ubuyu1kg,) karafuu ya 1000/=, Iliki ya1000, . Usage alafu kupika ni dk10
huwezi amini harufu ya dagaa hutaisikia
Mzima wewe? Hajambo mtoto?
He. But sijampa bado.
karanga,ufuta na njugumawe tafuta kimojawapo na si vyote kwa mkupuo halafu unga wa lishe hautakiwi kukaa muda mrefu unatakiwa kuandaa kiasi[/QUO
Sijaweka karanga kwenye mchanganyiko wangu bali ni njugumaw, korosho, ufuta, kunde, mbaazi, ngano, iliki, karafuu na unga wa ubuyu.

bado tu utazidisha virutubisho na kwa mtoto ni hatari kunde,njugu mawe na mbaazi ni jamii moja inabidi uwe unabadili ukiweka kimojawapo siku nyingine unaweka kingine

Mimi ndivyo ninavyofanya na hakijawahi kumletea mtoto shida yoyote, if it doesn't fit you unaacha tu.

sawa we endelea tu madhara si lazima yatokee hapo hapo wengi hufanya kwa kutokujua cha muhimu zingatia ratio
Karafuu? Iliki? Seriously???
huwezi amini harufu ya dagaa hutaisikia
FL
Kama ndio anaanza solids ni bora ukaanza na kitu kimoja kimoja kama wengine walivyoshauri. Kwa kuanzia jaribu puree ya avocado na banana unaiponda ponda unachanganya na maziwa (breast milk au formula anayotumia) ni nzuri and very nutritious. Wa kwangu ana miezi 6 anaipenda sana. You can do the same na apple, carrot, papaya. Zaidi tuwasiliane.
Annina
Wewe unatumia?