Uji mzuri wa watoto wanaotakiwa kuanza kula, mchanganyiko mzuri ni upi?

Uji mzuri wa watoto wanaotakiwa kuanza kula, mchanganyiko mzuri ni upi?

Naombeni majibu kwenye hili nataka kutumia mtama kama mbadala wa mahindi jee inwezekana? Maana twins wangu asubuhi uji donah mchana ugali dona aisee nawahurumia yani.. nahisi linawachosha sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh michanganyo hii inaweza kumdhuru mtoto na usijue nini kime mdhuri.
Mi bora niendelee kununua tu.
 
Ngano kg 5, (kaanga- Korosho 1/2kg, Kunde 1/2kg, Mbaazi1/2kg, Njugumawe 1/2) Ufuta1/2kg, Unga wa ubuyu1kg,) karafuu ya 1000/=, Iliki ya1000, . Usage alafu kupika ni dk10
Mbona kama mchanganyiko mwingi sana huu..
 
Back
Top Bottom