Uji mzuri wa watoto wanaotakiwa kuanza kula, mchanganyiko mzuri ni upi?


bora hata na wewe umeona hii ni overdose hata kama ni wa miezi 6 na kuendelea matokeo yake mtoto anakuwa obesity mzazi anajua nu afya
 
Ngano kg 5, (kaanga- Korosho 1/2kg, Kunde 1/2kg, Mbaazi1/2kg, Njugumawe 1/2) Ufuta1/2kg, Unga wa ubuyu1kg,) karafuu ya 1000/=, Iliki ya1000, . Usage alafu kupika ni dk10

Mchanganyiko huo haufai kabisa kwani utaleta poor digetion na itasababisha poor absoption constipation malnutrition.nashauri tumia unga wa nafaka mmoja like dona ya mahindi changanya na protein moja either maziwa au unga wa soya ya lishe na mafuta kidogo kati ya cooking oil,au blueband au karanga kidogo.Na lengo la kutumia mchangajiko wa vitu vichache ktk kutayarisha uji wa mtoto ni kurahihisha mmeng'enyo wa chakula tumboni kwake hivyo kurahisisha pia food absortion na mtoto kukua kwa afya njema.pia mpe na maji ya matunda supu ya nyama
 

Dona tena ndo utaua bendi, mana hapo ndo mana hata ulezi cjaweka na hapohapo vipo vya kuutilize digestion.
 
dada Karucee mi nimepigwa butwaa kwenye hiyo ratio ya lishe halafu kupikwa kwa dakika 10?

Unapika kwa dk10 kwa sababu hivyo vitu utakuwa umevikaanga kabla ya kusaga meaning vitakuwa vimeiva, au kipi hujaelewa hapo?
 
Last edited by a moderator:
Ndizi mbivu - banana, unaweka kwa microwave kwa dk 1 kuifanya ilainike vizuri, then unaiponda ponda au pitisha kwa strainer. Kisha ongeza maziwa kama nilivyoelekeza awali.

Annina

Annina nimependa hii
Unaweza kumpa mtoto ambaye hajafikisha miezi sita ??
 

Nipe zaidi procedure za kutengeneza

thank you
 

Hongera kwa kumaliza maternity leave shemeji
 
Nipe zaidi procedure za kutengeneza

thank you

FL
Procedure ni rahisi, chakula hiki hakipikwi. Chagua avocado na ndizi zilizoiva vizuri, safisha kwa umakini maana havipikwi so hakikisha hakuna uchafu kabisa. Weka ndizi (ripe banana) yako bila kumenya kwenye microwave kwa sec 50 hadi dk 1 ili ilainike vizuri - ndizi huwa ngumu kidogo. Kisha pitisha/sugua ndizi na avocado kwa strainer utapata uji mzito, ongeza maziwa hadi upate uji wa size unayotaka - kwa beginner ni vizuri usiwe mzito sana. Pia ni vizuri kutengeneza mlo wa mara moja - usitengeneze kingi ukahifadhi! So kipande cha banana na kipande cha avocado vinatosha kwa mlo- and yes mtoto wa miezi 5 anaweza kula. Wangu alianza akiwa na miezi 5 (nilipata ushauri wa kitaalam). Unaweza ukampa banana peke yake na avocado peke yake - mi napenda kuchanganya.


Karibu
Annina
 

Na kama sina microwave wala strainer, unanishauri nifanyeje.
 

Mlo wa aina hii mtoto anatakiwa apatiwe mara ngapi kwa siku?
1,2,3 ???
 
dona soya na ngano vimefanya maajabu kwa mwanangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…