Naombeni majibu kwenye hili nataka kutumia mtama kama mbadala wa mahindi jee inwezekana? Maana twins wangu asubuhi uji donah mchana ugali dona aisee nawahurumia yani.. nahisi linawachosha sasa
Ngano kg 5, (kaanga- Korosho 1/2kg, Kunde 1/2kg, Mbaazi1/2kg, Njugumawe 1/2) Ufuta1/2kg, Unga wa ubuyu1kg,) karafuu ya 1000/=, Iliki ya1000, . Usage alafu kupika ni dk10