na ukichanganya na mfumo wetu wa watu kubeba 'mwili wa marehemu' anaeshukiwa kuuwawa
wenyewe bila hata polisi wala ambulance za viwango kuja kwenye tukio..
ukichanganya hapo unapata one big circus....
Na hao ndo Law enforcers sasa...
Hivi niulize, mara kadhaa nimesoma kuwa polisi wamesema marehemu alikunywa 'jack daniel's'...wao walijuaje?
Wenyewe wanasema ni "Jacky Daniel's". Hicho kinywaji sijawahi kukisikia mimi. Niijuayo ni Jack Daniel's itengenezwayo huko Lynchburg, Tennessee, USA.
Huenda kukawa na "Jacky" Daniel's pia...you never know.
ha ha haaaaa wewe acha utani...
kumbe kuna jack na jacky daniels????
JD ni kinywaji popular siku hizi TZ... matamshi tu hayo..not a big deal.Tuwasamehe bure kwa matamshi hayo.
Kanumba alipoanguka, alizimika there and then it was all over, hiyo JD aliinywea nyumbani aliporudi ili atoke, kabla ya hapo alikuwa mahali pengine na alikunywa pombe nyingine hivyo wakati ugomvi unatokea, alikuwa heavily intoxiticated!.Pasco nisaidie kaka, hivi lulu alifikaje Oysterbay polisi?
nisamehewe bure jamani kama hili limeonyeshwa mahali...
Wenyewe wanasema ni "Jacky Daniel's". Hicho kinywaji sijawahi kukisikia mimi. Niijuayo ni Jack Daniel's itengenezwayo huko Lynchburg, Tennessee, USA.
Huenda kukawa na "Jacky" Daniel's pia...you never know.
je baba wa kanumba anamjua lulu?wamewahi kuwasiliana nae?this case is very open.
Hehehee Ngabu unanifanya nicheke msibani bana.
Leo mimi nipo so behind na maendelea ya hii 'inshu', nimemuuliza homeboy wako kuhusu Lulu alivyofika/kufikishwa oysterbay... Alifikafikaje? Maana the latest I read was that alikimbia baada ya kumtaarifu mdogo wa Kanumba kuwa kaka yake kadondoka na kupoteza fahamu (?)
Ila pia, matatizo ya kutokuwa na emergency systems za uhakika ndiyo matokeo yake haya. Ingekuwa kwenye nchi za watu mdogo wake angeweza tu kupiga simu 9-1-1 na watu wa EMT, Fire and Rescue, pamoja na polisi wote wanakuja kwa wakati mmoja.
Hii inahakikisha at least eneo la tukio litahifadhiwa kwa evidence collection (zitapigwa picha, itaandikwa ripoti , n.k.) huku mtu akipata matibabu ya dharura kabla hajapelekwa hospitali.
Sasa sina hakika hata kama marehemu alipelekwa huko Muhimbili akiwa kwenye gari la kubebea wagonjwa na sijui hata hao polisi walifika kwenye hilo eneo la tukio baada ya muda gani!!
Your point mkuu..!
Natamani Bongoland ingekua tambarare hivyo....natamani.
labda baba mtu alimtumia lulu?
Well, binti wa watu usikute aliogopa tu. Kwa hilo mimi wala sitamshikia bango sana. She is still so young, somewhat immature, and inexperienced in a lot of things.
Wakati gani sasa walimvisha marehemu? Kabla au baada ya polisi kuja?(i am just curious)Kanumba alipoanguka, alizimika there and then it was all over, hiyo JD aliinywea nyumbani aliporudi ili atoke, kabla ya hapo alikuwa mahali pengine na alikunywa pombe nyingine hivyo wakati ugomvi unatokea, alikuwa heavily intoxiticated!.
Kwanza alitoka kama alivyo kuripoiti Kanumba kaanguka, wakati wakihangaika ni mwili, alichukua nguo zake akatafuta mahali muafa ku dress up and run away ikiwa ni pamoja na kuzima simu. News za kifo zilipofika asubuhi, akawasha na kumtextia someone kuwa anataka kujiua, huyo mtu akawanotify police, wakamtumia kumzuga zunga huku akimwahidi msaada ndipo akawaelekeza alipo, jamaa akafika na police na kumdaka.
Nimeongea na huyu jamaa, pia jamaa aliye mdress Kanumba, end of the game ilikuwa ni pale pale, wale wasanii walijua he was dead na bado waliendelea kupiga picha his dead body, shame on them!q1
Wachina wametufanya mbaya sana Tanzania, kuna vinywaji vingi watu wanavinywa majina tuu lakini sio vyenyewe.JD ni kinywaji popular siku hizi TZ... matamshi tu hayo..not a big deal.Tuwasamehe bure kwa matamshi hayo.
Mkuu Pasco,Nimeongea na huyu jamaa, pia jamaa aliye mdress Kanumba, end of the game ilikuwa ni pale pale, wale wasanii walijua he was dead na bado waliendelea kupiga picha his dead body, shame on them!q1