Chilli
JF-Expert Member
- Jul 17, 2011
- 1,655
- 744
na ukichanganya na mfumo wetu wa watu kubeba 'mwili wa marehemu' anaeshukiwa kuuwawa
wenyewe bila hata polisi wala ambulance za viwango kuja kwenye tukio..
ukichanganya hapo unapata one big circus....
Hili nalo limenishangaza. Imekua kawaida tu kwetu wabongo kutoogopa Crime Scene hadi tunaweza kuharibu uchunguzi wa polisi.
Halafu, hivi hadi Kanumba anaingizwa Mochwari polisi walishafika pale kweli? niliona mtu aliyemfunga mdomo alikua hajavaa hata glovu, hii nayo vipi? Vipi kuhusu alama za vidole kwenye mwili wa marehemu?