"Ujinai" wa Lulu katika "mauaji" ya Kanumba (R.I.P)

"Ujinai" wa Lulu katika "mauaji" ya Kanumba (R.I.P)

na ukichanganya na mfumo wetu wa watu kubeba 'mwili wa marehemu' anaeshukiwa kuuwawa
wenyewe bila hata polisi wala ambulance za viwango kuja kwenye tukio..
ukichanganya hapo unapata one big circus....

Hili nalo limenishangaza. Imekua kawaida tu kwetu wabongo kutoogopa Crime Scene hadi tunaweza kuharibu uchunguzi wa polisi.
Halafu, hivi hadi Kanumba anaingizwa Mochwari polisi walishafika pale kweli? niliona mtu aliyemfunga mdomo alikua hajavaa hata glovu, hii nayo vipi? Vipi kuhusu alama za vidole kwenye mwili wa marehemu?
 
Na hao ndo Law enforcers sasa...

Hivi niulize, mara kadhaa nimesoma kuwa polisi wamesema marehemu alikunywa 'jack daniel's'...wao walijuaje?

Wenyewe wanasema ni "Jacky Daniel's". Hicho kinywaji sijawahi kukisikia mimi. Niijuayo ni Jack Daniel's itengenezwayo huko Lynchburg, Tennessee, USA.

Huenda kukawa na "Jacky" Daniel's pia...you never know.
 
ha ha haaaaa wewe acha utani...
kumbe kuna jack na jacky daniels????
 
Pasco nisaidie kaka, hivi lulu alifikaje Oysterbay polisi?
nisamehewe bure jamani kama hili limeonyeshwa mahali...
Kanumba alipoanguka, alizimika there and then it was all over, hiyo JD aliinywea nyumbani aliporudi ili atoke, kabla ya hapo alikuwa mahali pengine na alikunywa pombe nyingine hivyo wakati ugomvi unatokea, alikuwa heavily intoxiticated!.

Kwanza alitoka kama alivyo kuripoiti Kanumba kaanguka, wakati wakihangaika ni mwili, alichukua nguo zake akatafuta mahali muafa ku dress up and run away ikiwa ni pamoja na kuzima simu. News za kifo zilipofika asubuhi, akawasha na kumtextia someone kuwa anataka kujiua, huyo mtu akawanotify police, wakamtumia kumzuga zunga huku akimwahidi msaada ndipo akawaelekeza alipo, jamaa akafika na police na kumdaka.

Nimeongea na huyu jamaa, pia jamaa aliye mdress Kanumba, end of the game ilikuwa ni pale pale, wale wasanii walijua he was dead na bado waliendelea kupiga picha his dead body, shame on them!q1
 
Wenyewe wanasema ni "Jacky Daniel's". Hicho kinywaji sijawahi kukisikia mimi. Niijuayo ni Jack Daniel's itengenezwayo huko Lynchburg, Tennessee, USA.

Huenda kukawa na "Jacky" Daniel's pia...you never know.

Hehehee Ngabu unanifanya nicheke msibani bana.
Leo mimi nipo so behind na maendelea ya hii 'inshu', nimemuuliza homeboy wako kuhusu Lulu alivyofika/kufikishwa oysterbay... Alifikafikaje? Maana the latest I read was that alikimbia baada ya kumtaarifu mdogo wa Kanumba kuwa kaka yake kadondoka na kupoteza fahamu (?)
 
Well, binti wa watu usikute aliogopa tu. Kwa hilo mimi wala sitamshikia bango sana. She is still so young, somewhat immature, and inexperienced in a lot of things.
 
Ila pia, matatizo ya kutokuwa na emergency systems za uhakika ndiyo matokeo yake haya. Ingekuwa kwenye nchi za watu mdogo wake angeweza tu kupiga simu 9-1-1 na watu wa EMT, Fire and Rescue, pamoja na polisi wote wanakuja kwa wakati mmoja.

Hii inahakikisha at least eneo la tukio litahifadhiwa kwa evidence collection (zitapigwa picha, itaandikwa ripoti , n.k.) huku mtu akipata matibabu ya dharura kabla hajapelekwa hospitali.

Sasa sina hakika hata kama marehemu alipelekwa huko Muhimbili akiwa kwenye gari la kubebea wagonjwa na sijui hata hao polisi walifika kwenye hilo eneo la tukio baada ya muda gani!!

Natamani Bongoland ingekua tambarare hivyo....natamani.
 
labda baba mtu alimtumia lulu?

Duh.., ila kweli mkuu, unajua katika kesi kama hizi, mtu yeyote yule ambaye alikuwa na misunderstanding na victim mara nyingi huwa inakuwa lazima ahojiwe, sasa sijui hapa bongo kama huu utaratibu upo.
 
.........Mwishoni hapa watu wataingiza siasa, itaonekana kwamba chadema wanamtetea Lulu na CCM wako upande wa marehemu Kanumba. Mie ninachoweza kusema, ushabiki kwa sasa hautakiwi. Ngoja tuone nini kilisababisha kifo cha Kanumba na sio kuongea porojo.

Lulu hajamuua Kanumba, ila sema yeye ni suspect tu #1 kwa kuwa walikuwa wote kipindi Kanumba anafariki.

Vile vile huyo Lulu si miaka 17, mwenyewe kakiri yupo 18 na mwaka jana alifanya bonge la party kufika 18.
Kibongo bongo hapa vyeti vya kuzaliwa vinatolewa kama njugu, hivyo kuna uwezekano watu wakapata cheti kingine cha Lulu kinaonyesha yupo 17 na si 18.
 
Majibu ya daktari baada ya kufanya uchunguzi kwenye mwili wa marehemu ndiyo yatakayotoa mwanga wa kile kilichosababisha kifo chake.
 
Well, binti wa watu usikute aliogopa tu. Kwa hilo mimi wala sitamshikia bango sana. She is still so young, somewhat immature, and inexperienced in a lot of things.

Asante kwa Pasco kwa maelezo...

Lulu lazima alipata kiwewe na woga sana, umeona Pasco alivyoambiwa kuwa Lulu alitaka kujiua!?

kweli ni mdogo sana Lulu ukilinganisha na hili linalomkabili...
 
Kanumba alipoanguka, alizimika there and then it was all over, hiyo JD aliinywea nyumbani aliporudi ili atoke, kabla ya hapo alikuwa mahali pengine na alikunywa pombe nyingine hivyo wakati ugomvi unatokea, alikuwa heavily intoxiticated!.

Kwanza alitoka kama alivyo kuripoiti Kanumba kaanguka, wakati wakihangaika ni mwili, alichukua nguo zake akatafuta mahali muafa ku dress up and run away ikiwa ni pamoja na kuzima simu. News za kifo zilipofika asubuhi, akawasha na kumtextia someone kuwa anataka kujiua, huyo mtu akawanotify police, wakamtumia kumzuga zunga huku akimwahidi msaada ndipo akawaelekeza alipo, jamaa akafika na police na kumdaka.

Nimeongea na huyu jamaa, pia jamaa aliye mdress Kanumba, end of the game ilikuwa ni pale pale, wale wasanii walijua he was dead na bado waliendelea kupiga picha his dead body, shame on them!q1
Wakati gani sasa walimvisha marehemu? Kabla au baada ya polisi kuja?(i am just curious)
 
JD ni kinywaji popular siku hizi TZ... matamshi tu hayo..not a big deal.Tuwasamehe bure kwa matamshi hayo.
Wachina wametufanya mbaya sana Tanzania, kuna vinywaji vingi watu wanavinywa majina tuu lakini sio vyenyewe.
Mimi ni miongoni mwa waliajaaliwa kuepuka beer, hivyo mimi ni hard tuu. Nilienda bar fulani ya heshima tuu, nikaagiza Black Label, wakasema lazima ninunue chupa nzima!, any way nikakubali chupa ikaletwa. Genuine Black Lebel chupa ina ile alama ya Jonnie na stick yake iliyovimbia kwenye chupa, hii walioniletea nagusa nakuta alama ya kuchorwa. Nikamuomba meneja nikamwambia hii sio, akagoma akanionyesha mpaka sticker ya TRA!. Thank God the owner was around and he knows the game they play, akatuma nikaletewa nyingine toka bar yake ya upstairs. Hivyo sio lazima hizi JD ziwe ndizo zile zenyewe, huku tuna nunua majina.

Pale duka la suti la yule mama, nimekuta jeans za Gianni Versace, bei kigongo kumbe jina tuu!, mchina nuksi!. Lacoste kila kona!.
 
Nimeongea na huyu jamaa, pia jamaa aliye mdress Kanumba, end of the game ilikuwa ni pale pale, wale wasanii walijua he was dead na bado waliendelea kupiga picha his dead body, shame on them!q1
Mkuu Pasco,
Kwanza thanks kwa hizi info ni useful kwa JF updates, ila ninakushangaa wewe kuwashangaa hao wasanii kupiga picha dead body, wakati wewe huna tofauti yeyote na hao kwa kitendo chako cha kupalamia makaburi ya watu kule Kilombero ili upate picha ya Dr Slaa na JK!
Kweli nimeamini Nyani halioni kundule!!....
 
Back
Top Bottom