Ujinga alioufanya msanii Willy Paul jana dhidi ya wasanii wa Tanzania ukemewe vikali

Na issue ya Willy Paul kumwambia DJ azime wimbo alishirikiana na Rayvanny napo utasema kuwa?


Unatetea ujinga tu...


Willy Paul ni mzawa wa Kenya, Diamond Platnumz kumuachia Willy Paul kumalizia show ni bonge la heshima kwa sababu anapewa muda mzuri wa kufanya finishing... Willy Paul alijawa hofu kuwa uenda Diamond Platnumz akimaliza show basi mashabiki wataondoka
 
Ratiba ilikua inasema willy paul ndo ataanza, siku zote msanii mkubwa ana peform mwisho... diamond alikua analazimisha kupanda kwanza amalize zake ratiba akaupige mkia wa zuchu, very unproffesional
Vipi Willy Paul kuuita wimbo alioimba na Rayvanny Takataka pale stejini na kumwambia Dj auondoe
 
masikio yapi tena? Kuna aina nyingi za masikio.
 
Nchi ya Kenya ubaguzi ni asili yao kabisaaaaa, hata wao wanajua ndio maana hata leo wanaishi kwa kubaguana hata kwa makabila yao wenyewe, hivyo kubaguliwa mtanzania siyo kitu kipya, ubaguzi ni damu yao ya asili ambayo walizaliwa nayo.
 
Mm binafsi uwaga nasema na leo naendelea kusema Africa mashariki hakuna na hakuna taifa la hovyo na lenye watu wa kipuuzi na wapumbavu kama wakenya kwanza yana wivu roho mbaya uchawi,usuda hii imejirudia mara ya pili ilishaga fanywa na aliye kuwa Mbunge wao kwa kutoa kauli za kibaguzi shida haya kubali kama tunaendelea kupiga atua kuyazidi mam Mbwa na sasa hivi tunaanza kuyauzia umeme sijui tuyapandishie bei? Huyu Willypaul bila Nand nani alikuwa anamjua?
 
Sasa huyo Willy Paul kama kaleta dharau kiasi hicho kwa wanamuziki wa Tanzania hadi kuuita wimbo aliomshirikisha Rayvannny kuwa ni takataka mbona hata wimbo alioutaka uchezwe na DJ wenye maneno ya njiwa..njiwa... maudhui yake kayatoa kwa mwanamuziki wa taarabu wa Tanzania?
 
Tena kaimba na Nandy
 
Mngefatilia kwanza sababu... diamond ndo alikua analazimisha kubadilisha ratiba
Unaambiwa utapanda stejini muda fulani na utatumbuiza hadi muda fulani.
Muda ukifika, unamwambia promoter muda wangu umefika. Mambo ya kuchelewa siyo Diamond aliyechelewa.
Mbona Chris Brown alimzimia Kiba Mic? Na akapanda jukwaani? Sababu ni time.
 
Shobo na wazungu mara Kingereza matokeo yake mnaolewa kabisa. Akili za Wakenya asee.
 
Endeleeni kutekana na kuiba kura za wagombea Mitaa.

Wenzenu wako kwenye ujasusi wa Kidola na kiuchumi. Hawana masihara
 
Hivi Komasava iliishia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…