Ujinga alioufanya msanii Willy Paul jana dhidi ya wasanii wa Tanzania ukemewe vikali

Ujinga alioufanya msanii Willy Paul jana dhidi ya wasanii wa Tanzania ukemewe vikali

Mbona nilipanda na mama yako nikawa namshika shika.
1000090646.jpg
 
Wakenya wana wivu na chuki sana willy ni msanii mzuri lakin hawezi kumfikia Diamond hao wote wajitape Diamond yupo juu mziki wa 𝑻𝒁 unaongoza watulie ,nimefurahi diamond kughairi na kuondoka
Kilichowapeleka akina domo nchini Kenya ji kipi?

They should know their boundaries
 
Will paul ana chuki tu. Mbona ana collabo nying tu na wasanii wa Tz kina nandy, marioo, rayvanny..n.k tena ye ndo huwa anawashirikisha. Sijawahi kuona msanii wa bongo anamshirikisha uyo kiazi. Ni chuki tu za kishamba. Na iko wazi mziki wa kenya bado sana. Yani ukitoa saut sol, wasanii wa kenya sijawahi kuwaelewa na ni viazi tu🚮🚮
Vijana barubaru wapo vzr..
 
Kilichowapeleka akina domo nchini Kenya ji kipi?

They should know their boundaries
Boundaries kivipi wakati Wakenya wenyewe ndio walimuhita Diamond Platnumz aje afanye show....
 
Boundaries kivipi wakati Wakenya wenyewe ndio walimuhita Diamond Platnumz aje afanye show....
Wale jamaa wako na frustration zao

Watawajeruhi tu akina mondi
 
Nimefatilia hii ishu wengi hata hamjaelewa, willy paul yupo sahihi maana ratiba ilionyesha atapanda yeye kwanza.... siku zote wasanii wadogo hupanda kwanza msanii mkubwa anakua wa mwisho hii hata kwenye boxing tunaona wanaanza wapiganaji wadogo main event inakua mwisho

Tatizo hawakwenda na ratiba vizuri muda ukawa unaenda diamond akawa analazimisha yeye apande amalize aondoke zake na zuchu wake ndo willy paul akataka ratiba ifuatwe kama kawaida

Diamond akalazimisha kupanda stejini kama kawa wakenya ni vichwa vigumu na hawapendi shobo wakamzomea akasepa zake... wakenya hawana ujinga... zuchu angejaribu kuwanyooshea dole la kati kama alivyofanya mbeya wangemkata masikio stejini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakenya wakisha tafuna miraai vichwa vinaenda resi..Kwanza nashangaa Kenya wanann zaidi yakukimbia mbio Kama vibaka
Ndomaana magu..aliwakomaliga
wakajaaupepo
Sasa TZ mna nn kuizidi Kenya? Upumbavu na ujinga au?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakenya ni wapumbavu sana. Hata Fally Ipupa alishawahi kukataa kupiga show Mombasa kwa sababu ya ujinga ujinga wa hao jamaa.
 
Nimefatilia hii ishu wengi hata hamjaelewa, willy paul yupo sahihi maana ratiba ilionyesha atapanda yeye kwanza.... siku zote wasanii wadogo hupanda kwanza msanii mkubwa anakua wa mwisho hii hata kwenye boxing tunaona wanaanza wapiganaji wadogo main event inakua mwisho

Tatizo hawakwenda na ratiba vizuri muda ukawa unaenda diamond akawa analazimisha yeye apande amalize aondoke zake na zuchu wake ndo willy paul akataka ratiba ifuatwe kama kawaida

Diamond akalazimisha kupanda stejini kama kawa wakenya ni vichwa vigumu na hawapendi shobo wakamzomea akasepa zake... wakenya hawana ujinga... zuchu angejaribu kuwanyooshea dole la kati kama alivyofanya mbeya wangemkata masikio stejini
Na weww Usituletee Ujinga.. kama ni hivyo Wange deal na Diamond Personally.. kwa nini Wataje Watanzania???
 
Back
Top Bottom