Ujinga na Ushamba ni mzigo sana kwa Watanzania

Wanajua ila wanafanya makusudi kupotosha. Sababu zao ni hizi

1) Ni Mzanzibari
2) Ni Muislam
3) Ni Jinsia Yake
Akija kiongozi mkristu akikosea akikosolewa nasi tuseme kwasababu ni Mkristu.

Wacheni kujidumaza akili, kama hamna maarifa ya uongozi na "thick skin" ya kupokea kasoro zenu msiongoze hili taifa.
 
Umeamka!
 

Mtu akisema “wanyama hai” wewe unajuaje kwamba wanyamapori hawahusiki? Kwanini hakusema “…fursa ya kusafirisha mifugo…”, kauli ambayo ingemfanya kila mtu ajue wanyamapori hawahusiki?

Watu wana kila sababu ya kuwa skeptical. Mtu ambaye amewahi kung’atwa na nyoka, hata akiguswa na jani tu huenda akaruka!
 
Nyama za kwenye makopo hakuna huko Oman??

Kanusha kwanza hilo ndio tuanze kuzungumza ulichokileta chawa wewe
 
Ikiwa wewe ndiye unaejiona mwelevu miongoni mwa watanzania, sina budi kukubali kuwa Watanzania ni wajinga.
 
Kama kipimo cha werevu ndo kukubali kila kitu bila kuhoji basi, basi mtoa post ndo mjinga number moja nchi hii
Kipimo cha werevu ni kuhoji na kudadisi kila kitu
 
Angalia wewe ndyo ukawa zaidi ya fala tena fala mwenye uelewa mdogo kabisa zaidi nyumbu, sijui unaelewaje maana ya neno ‘wanyama hai’ kwenye layman definition
 
Mkuu hao waliotafsiri hivyo wamefanya hivyo makusudi kwa minajiri ya kupotosha Ili wao wasukume ajenda zao ovu za kisiasa sio kwamba hawaelewi..

Ingawa wanafanya hivyo Kwa kuelewa kwamba wengi wa wapokeaji ni wajinga,Washamba ,limbukeni na wasiojielewa..

Hao ndio waliposti kwenye mitandao eti Serikali imeshapata $40B kwa hiyo wafute Tozo 😬😬..

Hii Nchi Nyerere aliharibu sana watu.
 
Angalia wewe ndyo ukawa zaidi ya fala tena fala mwenye uelewa mdogo kabisa zaidi nyumbu, sijui unaelewaje maana ya neno ‘wanyama hai’ kwenye layman definition
Ukiamua kutafsiri kitu kwa upande wako kila kitu unaweza kutafsiri kwa upande wako
 
Kwanza hakuna wanyamapori wanaofugwa?
 
Wanajua ila wanafanya makusudi kupotosha. Sababu zao ni hizi

1) Ni Mzanzibari
2) Ni Muislam
3) Ni Jinsia Yake
Hiyo namba 2 ndiyo kuu haswaa, huo ndo ukweli.

Akifanya deal na wazungu, ambako ameshatembelea sana tu tangu awe raisi, utawasikia wanawaita wazungu hao 'wawekezaji' na hali huwa kimya tu. Akifanya kideal kidogo tu na mwarabu utawasikia, 'mwekezaji wa kiarabu'
 
Wamejaa ujinga, ushamba , chuki na husda tu
 
It doesn’t matter! Wild animals (wanyamapori) hata wakiwekwa zoo hawaitwi domestic animals or livestock (mifugo). Ni machotara (crossbreeds) fulani tu wa wild animals na domestic animals wanakidhi sifa za kuitwa domestic animals!
Unaelewaje maneno wanyama hai?
 
SUKUMA GANG wanampinga Mama kila kitu wana Hasira na Mama

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Nimesoma kichwa Cha habari, na kama aliyeandika ni Mtanzania nikaendelea na mambo yangu tu.
 
Utadhani yeye yupo naye Oman
 
Na dealer mkuu wa wanyama pori ni makamu wake
 
Mama Samia hakumaanisha hvyo ulivyosema wewe , sema mwanangu umeupiga mwingi Sana kwenye kuandika pumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…