Ujinga na Ushamba ni mzigo sana kwa Watanzania

Lete hotuba ya kiingereza hapa ndio tujadili au alionngea kiarabu,kuna tofauti ya livestock na wild animals.yeye alitamka kipi hapo
 
Tutawapelekea hadi nguruwe hai huko wasikonde
 
Hata nauli ya kutoka tu bukoba kuja dar huna halafu unaita watanzania wajinga.
 
Umempiga na jiwe lisilo na vumbi!
 
Wanajua ila wanafanya makusudi kupotosha. Sababu zao ni hizi

1) Ni Mzanzibari
2) Ni Muislam
3) Ni Jinsia Yake
Mama hajakosea ila tuwalaumu walioua Tanzania Parkers ya pale Kawe. Pale watu waliomaliza SUA ndo walioanza kufanya kazi pale na uzalishaji ulishamiri. UAE walitumia mazao yetu na tulweza kutengeneza ajira pamoja na kuanzisha viwanda vya ngozi Morogoro na cha viatu.

Waliingia wajuaji baada ya Mwalimu kung'atuka wakaona hapa ndo mwanya wa kuimaliza hii nchi.

Ni hao hao wanaomnanga Samia kuwa hajui afanyalo kumbe anatonesha vidonda vyao. Wanasahau wale waliokaa pale kawe miaka karibu 20 kusubiri mafao yao.
 
Hilo soko la wanyama ghafi halina tija kwa taifa..
Maana yake ni kuua ajira kwenye viwanda vya nyama Tanzania na kuhamishia hizo ajira Uarabuni 🙄
 
Kiukweli Australia imekamata soko la nyama arabuni, kwa jinsi mleta mada alivyoeleza kwamba waarabu wanapendelea zaidi wanyama hai kuliko nyama ili wawe na uhakika na ibada yao ya kuchinja basi kauli ya rais kuhusu kutangaza fursa ya kusafirisha wanyama hai kwenda arabuni ina mashiko. Na ikiwa hatuwezi ku access soko la ulaya la nyama kutokana na magonjwa ya mlipuko ya mifugo, hivi hatuoni fursa ya uarabuni ni kubwa sana na inaweza kutuinua kiuchumi?​
 
Punguani mpo wengi sana nowadays. Nonsense
 
kwa kauli hii naambatanisha na bajeti nzima ya mwaka huu. good comment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…