Ujinga ni biashara kubwa ambayo imetajirisha wengi

Ujinga ni biashara kubwa ambayo imetajirisha wengi

Biashara ya ujinga ndo imetajirisha watu hapa Africa

The same person anachukua madini yako at lowest price Ila anarudi na msaada wa Vyandarua na Condoms

Na mwingine anakuuzia UJINGA ili uuliwe ili apate cha kuongea na kuandika na kupata PESA.

Kwa sasa , DON'T PLAY SOMEONE'S GAME.

kwakuwa kila MTU ana familia yake na ukoo wake , ikiwa unahisi mambo hayapo sawa , INGIA front upambane mwenyewe .

Kwakuwa kule KENYA mwaka 2007 watu waliuliwa Ila end of the day Odinga akaweka mambo sawa na Ku-shake hands na watu walewale.

Je ni nani anazifatilia zile Familia za marehemu walioliwa wakimpambania Odinga ?

Yupo ?

Kwahiyo Ikiwa wanasiasa wameanza VITA waache wao waingie Wenyewe front .

Kwakuwa end of the day wao watamaliza VITA yao na kukumbatiana Ila wewe utakuwa umeuliwa , kupewa ulemavu n.k

Calculate ur MOVE there's no one is here to secure ur life.

Usione MTU kafanikiwa KTK siasa ukaamini na wewe unaweza kufanya siasa.

Yaaani una hide the pain story na kukumbatia story ya nje

Katika siasa kuna kuuliwa , kupewa sumu, kupewa ulemavu, kufungwa , kupotezwa.

So ukiona unataka kuishi miaka mingi na kuwa salama ujue siasa sio sehemu yako .

BECAUSE YOU NEED SOME SHIT DOESN'T MEAN YOU CAND HANDLE IT

TANZAANIA KWANZA AMANI KWANZA OKOA MAISHA YAKO KATAA MAANDAMANO KATAA VURUGU FAMLIA INAKUTEGEMEA
Huo ndio ukweli bro,

Just imagine vijana wa KENYA walipoteza uhai na kuwa vilema,mwisho wa siku wanasiasa wakamaliza tofauti zao

Je huyo kijana wa Kenya aloyepoteza maisha,will he or her soul would come back?

Huyo mlemavu je alipata chochote?

Basi tusema hapana hapa Tanzania
 
Absolute okay , walichopewa ni habari zao kuwa kwwenye magazines cover

Najua kwakuwa tunahatarisha UGALI wa wanaharakati lazima waumie Sana .

Mimi huwa siingilii mambo ya watu Ila kwa hili watanisamehe Sana wanaharakati .
 
Huo ndio ukweli bro,

Just imagine vijana wa KENYA walipoteza uhai na kuwa vilema,mwisho wa siku wanasiasa wakamaliza tofauti zao

Je huyo kijana wa Kenya aloyepoteza maisha,will he or her soul would come back?

Huyo mlemavu je alipata chochote?

Basi tusema hapana hapa Tanzania
😂😂😂 Same id's with so outdated strategies! Badilisheni mbinu wazee wetu, tofauti ya post zenu ni nusu saa tu, hiki ni kizazi kingine kabisa.
 
Screenshot_20251217-135358_X.jpg

Dawa imeanza kufanya kazi
 
Back
Top Bottom