Ujinga ni biashara kubwa ambayo imetajirisha wengi

Huo ndio ukweli bro,

Just imagine vijana wa KENYA walipoteza uhai na kuwa vilema,mwisho wa siku wanasiasa wakamaliza tofauti zao

Je huyo kijana wa Kenya aloyepoteza maisha,will he or her soul would come back?

Huyo mlemavu je alipata chochote?


Basi tusema hapana hapa Tanzania
 
Absolute okay , walichopewa ni habari zao kuwa kwwenye magazines cover

Najua kwakuwa tunahatarisha UGALI wa wanaharakati lazima waumie Sana .

Mimi huwa siingilii mambo ya watu Ila kwa hili watanisamehe Sana wanaharakati .
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Same id's with so outdated strategies! Badilisheni mbinu wazee wetu, tofauti ya post zenu ni nusu saa tu, hiki ni kizazi kingine kabisa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Same id's with so outdated strategies! Badilisheni mbinu wazee wetu, tofauti ya post zenu ni nusu saa tu, hiki ni kizazi kingine kabisa.

Nigger , we won end of the day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…