Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Mitaji ni nini ?Nchi inaweza kuwa na wachapa kazi na wasomi ila wakakosa mitaji na teknolojia ila kupitia wawekezaji
Hivi unadhani kuna uwekezaji / project yoyote ambayo haiitaji mtaji either government / financiers /au Kodi ? kila mtu anachukua Mtaji; Na kama nchi ina wasomi wanaojua si watawekeza kwenye Teknolojia ? Hivi wewe unajua China ya Wapi ? China ambayo mambo ya Saa; Printing Machines Biogas; Aquaculture wanayafanya tangu enzi na enzi ? Unadhani ile Wall of China ilijengwa lini na kina nani ?!!! Acha kabisa hivi vi nchi kama USA ni vya kuji ukiangalia sehemu kama China ipo tangu na tangu... ni kwamba pale kati tu walibweteka....
Wakaiba teknolojia ?!! Ebu niambie teknolojia huwa inatoka wapi ? Watu wengi mataifa yote yalipenda kwenda USA sababu ilionekana kama land of the free na opportunities ukibanwa kwenu unakwenda kule, ukiwekeza vema unatoboa ila teknolojia nyingi zinatokoka kwenye instutions kama vyuo na watu kuwa na wito wa kujifunza kuna Kipindi Germany ilikuwa vema sana (iliwekeza kwenye research and development) Corporation zote kubwa zinawekeza kwa bright minds kwenye vyuo for long term gains (issue ni kwamba huenda kampuni nyingi za huko kwa sasa zipo kwenye short term gains wakati big Institutions zinamwaga pesa (tena zikiongozwa na serikali mfano kuwekeza kwenye military ili watu wagundue vitu) ndio maana kuna vitu vingine huwa vinagunduliwa kwenye jeshi (pesa nyingi inamwagwa na serikali)ndio Sasa wachina nao wakaiba teknolojia (Hili unalojua) na kujifunza teknolojia maana Moja ya sera ilikua ni kwamba ukifungua biashara china basi ni lazima uta disclose teknolojia Yako kwa serikali after 3 years lakini pia ujenge uwezo kwa wachina waweze endesha taasisi na sio kuajiri tu expatriates.
Tafuta historia ya China - Wachina ni wachapa kazi; wachina wanafuata sheria na wachina sio wabishi hio ndio asset kubwa kuliko zote... Mambo ya economic systems yanabadilika muda baada ya muda huwezi kutumia nyenzo za zama za mawe ukaleta zama za utumwa au zama za industrial revolution..., mambo yamebadilika sasa hivi dunia ni kijiji na kuna global economy (hata mfumo wa ubepari miaka ijayo hautafanya kazi sababu kwa sasa ajira hazipo wala nguvu kazi haiitajiki tena) Dunia ya sasa 99 percent ya utajiri wa duniani unamilikiwa na 1 percent; hio kwa security ya hao 1 percent ni hatari ndio maana unaona mara maandamano huku watu kushikana mashati n.k.; kwahio fahamu kabisa the next mixed economies itabadilika tena sababu the environment has changed yet again....So mtaongea mengi ila Mao was a failure kiuchumi hasa baada ya janga la Great leap forward but Deng ndio alijenga uchumi unaouona Sasa kwa kuruhusu sekta binafsi ikamate nyenzo za kiuchumi.
Na ndio maana hapa tunapoongea DP World na makampuni mengine yamepewa tender za kuendesha bandari huko China.