Ujinga ni tatizo kuu hapa Tanzania

Nchi inaweza kuwa na wachapa kazi na wasomi ila wakakosa mitaji na teknolojia ila kupitia wawekezaji
Mitaji ni nini ?
Hivi unadhani kuna uwekezaji / project yoyote ambayo haiitaji mtaji either government / financiers /au Kodi ? kila mtu anachukua Mtaji; Na kama nchi ina wasomi wanaojua si watawekeza kwenye Teknolojia ? Hivi wewe unajua China ya Wapi ? China ambayo mambo ya Saa; Printing Machines Biogas; Aquaculture wanayafanya tangu enzi na enzi ? Unadhani ile Wall of China ilijengwa lini na kina nani ?!!! Acha kabisa hivi vi nchi kama USA ni vya kuji ukiangalia sehemu kama China ipo tangu na tangu... ni kwamba pale kati tu walibweteka....
Wakaiba teknolojia ?!! Ebu niambie teknolojia huwa inatoka wapi ? Watu wengi mataifa yote yalipenda kwenda USA sababu ilionekana kama land of the free na opportunities ukibanwa kwenu unakwenda kule, ukiwekeza vema unatoboa ila teknolojia nyingi zinatokoka kwenye instutions kama vyuo na watu kuwa na wito wa kujifunza kuna Kipindi Germany ilikuwa vema sana (iliwekeza kwenye research and development) Corporation zote kubwa zinawekeza kwa bright minds kwenye vyuo for long term gains (issue ni kwamba huenda kampuni nyingi za huko kwa sasa zipo kwenye short term gains wakati big Institutions zinamwaga pesa (tena zikiongozwa na serikali mfano kuwekeza kwenye military ili watu wagundue vitu) ndio maana kuna vitu vingine huwa vinagunduliwa kwenye jeshi (pesa nyingi inamwagwa na serikali)
Tafuta historia ya China - Wachina ni wachapa kazi; wachina wanafuata sheria na wachina sio wabishi hio ndio asset kubwa kuliko zote... Mambo ya economic systems yanabadilika muda baada ya muda huwezi kutumia nyenzo za zama za mawe ukaleta zama za utumwa au zama za industrial revolution..., mambo yamebadilika sasa hivi dunia ni kijiji na kuna global economy (hata mfumo wa ubepari miaka ijayo hautafanya kazi sababu kwa sasa ajira hazipo wala nguvu kazi haiitajiki tena) Dunia ya sasa 99 percent ya utajiri wa duniani unamilikiwa na 1 percent; hio kwa security ya hao 1 percent ni hatari ndio maana unaona mara maandamano huku watu kushikana mashati n.k.; kwahio fahamu kabisa the next mixed economies itabadilika tena sababu the environment has changed yet again....
 
The father of modern China is Sun Yat-sen at least Chairman Mao can fit on that position but not Mr Deng.

I respect Deng Xiaoping but not that huge position you put him in China.
 
Hili la uwekezaji wa bandari limepita na watu hawajaandamana...Tumefanikiwa kwa hili kulipitisha.

litakuja jingine kubwa tutatulia na kuanza kulia.

Miaka 60 mbele sasa tunaanza kucheka wengine wakiwa makubulini.

Nawazaka siku BAHARI ikitokea hii dunia itakuwa na mabonde au vipi na sisi ndio itakuwa mwisho WETU.

Asee BANGI ya jana ilikuwa kali sana.
 
Deng Xiaoping hakuwa msaliti kwa Mao Zedong hakuvunja misingi ila alifanya maboresho ya misingi.

Deng hakupelekwa ulaya na Mao alikwenda ufaransa kabla hata CPC haijaanzishwa na alienda kusoma masomo binafsi.

Tanzania same as many parts of Africa yapo matatizo mengi sio vyema kusema kwa kuwa China, Singapore na baadhi ya mataifa ya mashariki ya kati yamefanikiwa hivyo nanyi piwa waweza kufanikiwa.

Mna matatizo mengi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii hamna misingi bora katika maeneo hayo hata kama Deng Xiaoping au Lee angeweza kuwa hai katika nchi yenu pia asingeweza kufaulu sehemu yoyote ile
 
Wewe ndio mjinga namba moja, umeandika maneno mengi kwa faida ya nani, umelipwa shenzi type.
 
Vipi kuhusu NIDA, ATCL, Huduma duni na slow za Halmashauri, TANESCO, Hospitali za serikali, TBC, TRA n.k nako kubinafsishwe??
Hapo Sasa! TBC Iko taabani kabisa! Kwa mawazo ya mleta mada, TBC inapaswa kubinafsishwa
 
China sio capitalist country. China haijaachana na socialism. China ni modern socialist country
 
North Korea has been under alot of sanctions for many years same as Cuba.
 
Historia ya uchumi wa China ni safari ndefu ambayo haikuazishwa na Deng Xiaoping pekee.

Mageuzi ya kiuchumi ya Deng Xiaoping yasingeweza fanikiwa pasipo misingi iliyo jengwa na chairman Mao.

Mapinduzi ya kinyuklia, sayansi, misingi ya kilimo, viwanda, nishati,chuma n.k haya yote yalifanikishwa chini ya mwenyekiti Mao.
 
China sio capitalist country. China haijaachana na socialism. China ni modern socialist country
70% of china's economy is owned by the private sector, how do you term it as a socialist economy?!
 
Mimi nakuona wewe ndio mjinga Fulani hivi unaejifanya una akili. Wapi watanzania wamekataa wawekezaji?
Sahihi. Watanzania wanakataa terms ya uwekezaji lakini siyo uwekezaji wenyewe
 
Hakuna anayechikia au kukataa uwekezaji bali uwekezaji uwe ni wa win win situation na hapo ndo Watz tunapotaka
Sio kwa mikataba ya ovyoovyo
 
70% of china's economy is owned by the private sector, how do you term it as a socialist economy?!
Strategic Companies za China mostly ni State Owned; Kwenye Fortune 500 Companies Duniani za China 71% percent ni State Owned...

China ni Market Socialist Economy; State ina-own Commanding Height companies na strategic companies ambazo zipo katika ushindani na private sectors.... Markets works hakuna mtu anabisha hilo (you can not plan an economy) ila pale ambapo peoples welfare ina matter na State inaown ni kwamba hio ni Mali ya UMMA kuanzia profits mpaka objectives ni kwa manufaa ya UMMA na sio Private Individuals na their Shareholders...

Kumbuka kwamba huu sio mwisho wa economic changes mambo yataendelea kubadilika kulingana na wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…