Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

Mwasibu mambo mengine kama unafanya kweli basi fanya kama Siri yako.

Mimi nachukia Sana mtu anaetembea na vitoto vidogo wakati vijana wenzao wapo kibao.

Achana na watoto mashangazi wapo wamejaa tele tena wengine ukikwama pesa wanakupa wao, Acha huu ujinga.
 
Kwa Heshima yako hapa jukwaani, heshima ulinayo nayo kwa WanaSimba huu uzi wa leo umecheza kama Yikpe! Hizi stori waachie kina deep pond kaka ukirudia tunakuvua Nyota zote!
Huyu jamaa wakati mwingine huwa anateleza sana kuna siku alileta uzi mpaka akawa anatuma na screenshot za convoy alizokuwa ana chat na demu WhatsApp nikajiuliza huu ni ujanja /Ufala, ujinga au sifa tu za kishamba?
 
Huyu jamaa wakati mwingine huwa anateleza sana kuna siku alileta uzi mpaka akawa anatuma na screenshot za convoy alizokuwa ana chat na demu WhatsApp nikajiuliza huu ni ujanja /Ufala, ujinga au sifa tu za kishamba?
Yani badala ya wakubwa tuwape muongozo madogo Mwasibu anajifanya na yeye ni Le Mutuz aliyechangamka.
 
Mambo ya magari yalikuwa zamani wakati wa picnic na outing za Pink coconut saelander club.

Sasa hivi ni ufalme wa Bodaboda au mtu yeyote mwenye mawe.

Hakuna demu wa kumbabaisha na gari sasa hivi, wanaangalia Nani mwenye mawe na bill ya salon.
siyo kwamba ukiwa na gari, automatikali una mawe ?

maana nishawahi ulizwa, una gari ?
nikasema hapana
na chat ikaishia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…