Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesoma vizuri alichoandika? Mwanamke mwenye miaka 21 ni mtoto?Mwasibu mambo mengine kama unafanya kweli basi fanya kama Siri yako.
Mimi nachukia Sana mtu anaetembea na vitoto vidogo wakati vijana wenzao wapo kibao.
Achana na watoto mashangazi wapo wamejaa tele tena wengine ukikwama pesa wanakupa wao, Acha huu ujinga.
Mawazo na mtazamo wangu uheshimike Mkuu 😂😂😂No hard feelings mzee[emoji23] sio kila siku kila saa ni vitu serious tu, muda mwingine inatakiwa tuishi kama binadamu wengine, mimi sioni ubaya wowote kila mtu anafanya haya mambo ni vile tu yeye ameamua kushare yake na sisi…which is Not bad
Walimu wametokea wapi hapa we mweu?Walimu wanaongoza kwa ndoto za mchana!!
Mwasibu tuko naye hapa JF zaidi ya miaka 10, namjuwa hawezi kuwa na umri wala hawezi kuwa chini ya 40.Umri wenu huenda tofauti. Labda Okw yupo kwenye 27 au below.
Hilo jamaa lijinga sana, issue zenyewe zipo tunapiga mastori MMU. Anataka hard talk MMU? upuuzi mtupuNo hard feelings mzee[emoji23] sio kila siku kila saa ni vitu serious tu, muda mwingine inatakiwa tuishi kama binadamu wengine, mimi sioni ubaya wowote kila mtu anafanya haya mambo ni vile tu yeye ameamua kushare yake na sisi…which is Not bad
4. Ukiwa unakapiga show kaanza kuomba hela, kuomba material things. Yaani kanakatika huku kanaomba hela.
Ooh. Kumbe ana maraisi 2 tu kabla ya umri wa kustaafu.Mwasibu tuko naye hapa JF zaidi ya miaka 10, namjuwa hawezi kuwa na umri wala hawezi kuwa chini ya 40.
Achana na huyo hater anapangia watu maisha. Watakuwa ni wale madingi wakoloniOoh. Kumbe ana maraisi 2 tu kabla ya kustaafu.
First born wangu anafanya masters halafu Mimi naanzaje kutoka na binti 21 years old? na hawa vijana watoke na nani?Umesoma vizuri alichoandika? Mwanamke mwenye miaka 21 ni mtoto?
Watu waliozaliwa mwaka 2000 mpaka 2005 ndani ya hii cohort mdogo zaidi yupo chuo kikuu mwaka wa kwanza na mkubwa ana miaka zaidi ya mitatu toka amalize chuo kikuu.
Mimi nilikipata kimoja hivi,tukienda kula sehemu eti kanapenda tulishane kwa kutumia midomo...Unajua sio kitu ubaki kusimuliwa, mengine inabidi uonje ili kujua mambo mengi hata kama sio kila kitu. Kwa hiyo wakati fulani nikataka kuonja radha ya katoto ka miaka ya 2000s. Wakati huo kalikua na miaka 21.
Kale katoto ndio kalitoka kumaliza degree, kwa hiyo nikajiaminisha atakuwa anatumia akili za chuo kudeal na mapenzi. Ikawa tofauti kabisa, kumbe akifunga madaftari anabaki na ujinga uleule.
Ujinga ni mwingi, ila nitakumbuka machache
1. Akanikataza kumuita kwa jina lake. Akalazimisha nimuite mpenzi. Hii kwangu ilikuwa adhabu kubwa sana kumwita mpenzi wakati simpendi. Imagine upo ofisini na wakuu wenzako, umekula suti za Kihasibu mnapitisha malipo, halafu wanasikia unaita mtu Mpenzi kwenye simu
2. Ukiwa naye anataka muda wote awe na simu yangu eti kupima uaminifu wangu. Sms ikiingia anataka kwanza asome yeye.
3. Kuna siku nilifungiwa lodge. Mimi hata iweje huwa silali nje ya home. Kuna siku tulikuwa na miadi ya kula mzigo, tukachukua chumba kwa makubaliano ya saa 4 usiku tunaondoka. Ilipofika muda dogo akaficha funguo anataka tulale.
4. Ukiwa unakapiga show kaanza kuomba hela, kuomba material things. Yaani kanakatika huku kanaomba hela.
5.Ukitaka kwenda kumchukua kwao(alikuwa anaishi na dada yake) analazimisha usogee karibu kabisa ili majirani waone kama anafuatwa na gari.
Baada ya kujionea mwenyewe nikakapiga tukio la kuuma kakakimbia chenyewe.
My Take
Try this at your own risk.
Mwachibu Mimi siyo dingi, ukitaka kuujuwa umri wangu Sisi ndio form four ya mwisho Tambaza na olevel ikafungwa rasmi.Achana na huyo hater anapangia watu maisha. Watakuwa ni wale madingi wakoloni
2 and 4Unajua sio kitu ubaki kusimuliwa, mengine inabidi uonje ili kujua mambo mengi hata kama sio kila kitu. Kwa hiyo wakati fulani nikataka kuonja radha ya katoto ka miaka ya 2000s. Wakati huo kalikua na miaka 21.
Kale katoto ndio kalitoka kumaliza degree, kwa hiyo nikajiaminisha atakuwa anatumia akili za chuo kudeal na mapenzi. Ikawa tofauti kabisa, kumbe akifunga madaftari anabaki na ujinga uleule.
Ujinga ni mwingi, ila nitakumbuka machache
1. Akanikataza kumuita kwa jina lake. Akalazimisha nimuite mpenzi. Hii kwangu ilikuwa adhabu kubwa sana kumwita mpenzi wakati simpendi. Imagine upo ofisini na wakuu wenzako, umekula suti za Kihasibu mnapitisha malipo, halafu wanasikia unaita mtu Mpenzi kwenye simu
2. Ukiwa naye anataka muda wote awe na simu yangu eti kupima uaminifu wangu. Sms ikiingia anataka kwanza asome yeye.
3. Kuna siku nilifungiwa lodge. Mimi hata iweje huwa silali nje ya home. Kuna siku tulikuwa na miadi ya kula mzigo, tukachukua chumba kwa makubaliano ya saa 4 usiku tunaondoka. Ilipofika muda dogo akaficha funguo anataka tulale.
4. Ukiwa unakapiga show kaanza kuomba hela, kuomba material things. Yaani kanakatika huku kanaomba hela.
5.Ukitaka kwenda kumchukua kwao(alikuwa anaishi na dada yake) analazimisha usogee karibu kabisa ili majirani waone kama anafuatwa na gari.
Baada ya kujionea mwenyewe nikakapiga tukio la kuuma kakakimbia chenyewe.
My Take
Try this at your own risk.
Itakuwa na muonekano gani?Na inawezekana wakati huo pesa itakuwa imebadirika muonekano
Muonekano wa kipekee sababu ya mama hahahahhaItakuwa na muonekano gani?