Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

Mwasibu mambo mengine kama unafanya kweli basi fanya kama Siri yako.

Mimi nachukia Sana mtu anaetembea na vitoto vidogo wakati vijana wenzao wapo kibao.

Achana na watoto mashangazi wapo wamejaa tele tena wengine ukikwama pesa wanakupa wao, Acha huu ujinga.
Bora huyoo MI natembea WA 2010 na kanishikia mimba Ila IQ yake waungane wanawake 8 WA jf u Kim to a Yule mdada maarufu
 
Yote ulivyosema ni kweli Niko na ka 21 ila sioni shida maana hata hao aged Wana mambo Yao ya kusumbua tena zaidi ya 21 uzuri wa hao generation Z ni they love for real ila kwa upande wa sex unapaswa uwe imara maana energy Yao sio poa
Kuna kamoja nimeanzana nako jana wacha tuone itakavyokua 🙂
 
Sasa niambie ni msichana yupi wa 21 anayekojowa?
Are you serious? Mimi nina miaka 33 unataka nianze kukimbizana na mzee mwenzangu? Dating pool yangu ipo age-limited to 20 ~ 24 and she must be in college. Hao wanawake wakubwa wana emotional buggage plus insecurities after a series of years being pumped and dumped.
 
Kapo niliotembea nako kamezaliwa 2006 Ni majanga tu,ipo siku nitaileta story sna hamu navyo,hivi vibinti
 
Kama ni kweli uliyoandika hapa basi that girl, she was smarter than you.

Mwanamke ana nguvu Sana , sema wanaume wengi hawapo enlightenment -hawana mwanga wa Akili that is way unakuta MTU anamfokea mke wake Ila anatulizwa na kabinti kadogo na kurushiana mito chumbani.
 
Our own mwasibu jameni! (Cc. kelphin)

On a serious note: Sidhani kama vitoto vyote vya 2000s viko hivyo. Naamini na vinavyojitambua na kuyaelewa maisha tena pure wife material vipo.

Hivyo usitumie ujinga wa hicho chako kisichojitambua kuvihukumu vitoto vyote vya 2000s. Endelea kutafuta vingine kama tu unajua unachokitafuta. Angalia tu usiishie kuviharibia maisha🚶🏿‍♂️
Mwasibu the great😅😅😅😅
 
Hivi vitoto mviache vienjoy ujana wao na wavulana ndio nature inataka hivyo.
Mkuu hapo ntapingana na wewe. Nakumbuka wakati tupo sekondari mabinti wengi wa age yetu walikua wanatoka na majamaa ya mtaani makubwa kinoma kipindi hicho yanakuja kuwachukua na magari sisi tunaonekana vinuka mkojo hatuna kitu.

Sasa saiz tumekua wakubwa, nasisi tuna vihela na vigari, unataka tena tuanze kutoka na mademu wale wale waliotutenga tukiwa wadogo? Hell No!! Sasa ni muda wetu na sisi kula mema ya nchi na vibinti under 22, hao ma ajuza wao zamu yao ilishapita.
 
Join the chain kwao kitu kikubwa vinataka time and fucking less money akikuomba sana ni ten
Sema kuna kamoja nilikua nako kalikua kasumbufu jamani khaa.. kila saa kanataka mchati, ukatumie meseji, mara video call, ukasifie, ukape hela, yaani ilikua bado kidogo wife atudake. Nikaona kataniletea matatizo nikapiga chini kimya kimya.
 
Sema kuna kamoja nilikua nako kalikua kasumbufu jamani khaa.. kila saa kanataka mchati, ukatumie meseji, mara video call, ukasifie, ukape hela, yaani ilikua bado kidogo wife atudake. Nikaona kataniletea matatizo nikapiga chini kimya kimya.
Wote ni hivyo hivyo na hakuna namna atakuelewa hata usemeje kile unakataza ndio kitu katafanya sema Sina namna maana pia na enjoy sana Kako vizuri ila huo usumbufu hadi kuna saa najifungia ndani kasione kama nipo (tuko Jirani)
Hapa Jana kalikuwa hapa na show ndeeeefu (thanks to imagi red wine)
Leo tena kanataka😬ni mtihani
 
Back
Top Bottom