Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

Nimecheka hilo lalamiko lako namba 4 kwamba wakati anakupa vile viuno vya Mkoleni, wakati huo huo anaomba hela/anaomba umnunulie Peruvian hair/anaomba umpeleke vacation Zanzibar 😜🙌

Kumbe wanatofautiana

Me wangu nikiwa nakaribia kuwaleta Wazungu ndiyo hapo anaanza kuomba hayo mahitaji

Na kwakuwa nakuwa nje ya common sense, najikuta nakubali tu

Yeye: Daddy ninunulie iPhone 15
Mimi: Usihofu nitakupa
Yeye: Daddy nilipie tiketi ya Dubai
Mimi: Unataka uende na Fly Emirates ama Kenya Airways

Kuja kutahamaki nimeuza Kiwanja cha familia 🙌

Bora tumezeeka sasa 😜
 
Are you serious? Mimi nina miaka 33 unataka nianze kukimbizana na mzee mwenzangu? Dating pool yangu ipo age-limited to 20 ~ 24 and she must be in college. Hao wanawake wakubwa wana emotional buggage plus insecurities after a series of years being pumped and dumped.
Miaka 33 na huyo wa 21 wote akili zenu Sawa tu.

Unahitaji kuishi miaka 10 ijayo ndio utaelewa nilichoandika leo.

Binti wa miaka 21 anafanya sex kama passion tu lakini bado hawezi kuenjoy hilo tendo, wanawafanyia maigizo tu.
 
Hapo ndio huwa nakushangaa kutaka mimi niwe wewe. Mimi mwanangu wa kwanza yupo grade 3.
Inategemea umechelewa kuwa na familia lazima uwe na watoto wadogo.

Lakini kutembea na vitoto vidogo hiyo napinga kabisa.

Tena wanaume tunapaswa kuwasapoti Sana watoto wa kike wakishapevuka ili akiingie kwenye mapenzi aingie Kwa mtu wa rika lake.
 
Inategemea umechelewa kuwa na familia lazima uwe na watoto wadogo.

Lakini kutembea na vitoto vidogo hiyo napinga kabisa.

Tena wanaume tunapaswa kuwasapoti Sana watoto wa kike wakishapevuka ili akiingie kwenye mapenzi aingie Kwa mtu wa rika lake.
Kwangu mimi binti wa 21-25 ndio saizi yangu. Hata kesho nikioa akizidi sana 27. Ushauri wangu ni kwamba usiwe unatumia nguvu nyingi kunisoma. Muda wa kupiga magazijuto ya nimechelewa kupata familia tumia kufanya mambo muhimu. Pia usitumie nguvu kudeal na mambo ya MMU. Relax
 
Kwangu mimi binti wa 21-25 ndio saizi yangu. Hata kesho nikioa akizidi sana 27. Ushauri wangu ni kwamba usiwe unatumia nguvu nyingi kunisoma. Pia usitumie nguvu kudeal na mambo ya MMU. Relax
Kumbe Mwasibu hujaowa bado? umemzalisha mwanamke halafu kutwa mko hapa kuwaponda single mother.
 
Unajua sio kitu ubaki kusimuliwa, mengine inabidi uonje ili kujua mambo mengi hata kama sio kila kitu. Kwa hiyo wakati fulani nikataka kuonja radha ya katoto ka miaka ya 2000s. Wakati huo kalikua na miaka 21.

Kale katoto ndio kalitoka kumaliza degree, kwa hiyo nikajiaminisha atakuwa anatumia akili za chuo kudeal na mapenzi. Ikawa tofauti kabisa, kumbe akifunga madaftari anabaki na ujinga uleule.

Ujinga ni mwingi, ila nitakumbuka machache

1. Akanikataza kumuita kwa jina lake. Akalazimisha nimuite mpenzi. Hii kwangu ilikuwa adhabu kubwa sana kumwita mpenzi wakati simpendi. Imagine upo ofisini na wakuu wenzako, umekula suti za Kihasibu mnapitisha malipo, halafu wanasikia unaita mtu Mpenzi kwenye simu

2. Ukiwa naye anataka muda wote awe na simu yangu eti kupima uaminifu wangu. Sms ikiingia anataka kwanza asome yeye.

3. Kuna siku nilifungiwa lodge. Mimi hata iweje huwa silali nje ya home. Kuna siku tulikuwa na miadi ya kula mzigo, tukachukua chumba kwa makubaliano ya saa 4 usiku tunaondoka. Ilipofika muda dogo akaficha funguo anataka tulale.

4. Ukiwa unakapiga show kaanza kuomba hela, kuomba material things. Yaani kanakatika huku kanaomba hela.

5.Ukitaka kwenda kumchukua kwao(alikuwa anaishi na dada yake) analazimisha usogee karibu kabisa ili majirani waone kama anafuatwa na gari.

Baada ya kujionea mwenyewe nikakapiga tukio la kuuma kakakimbia chenyewe.

My Take
Try this at your own risk.
Ww na uyo mwenzako nyote mnahitaj msaada
 
Ww mzee unajisifu kufanya ujinga?? Sasa huoni km unajidhalilisha kuonyesha silver hair watoto wako??
 
Back
Top Bottom