Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

Uligeuka kuwa ng'ombe anayechungwa na kajukuu.🤣🤣
 
Kwa Heshima yako hapa jukwaani, heshima ulinayo nayo kwa WanaSimba huu uzi wa leo umecheza kama Yikpe! Hizi stori waachie kina deep pond kaka ukirudia tunakuvua Nyota zote!
Acha wehu kuna muda wa kurelax wewe
 
Vipi kuhusu Harufu ya Samaki aliyechina?
 
Ndugu yangu, hebu tulia sasa tumezeeka achana na vitoto!
Mwarabu wa juisi bado unawasiliana naye kwanza? 😃😃👏
 
Aisee
 
Inaonesha ulivokua una kaaproach, ulitumia materials sanaaaa!!!!!
 
By the way, Nilishajutaga kitambo sana kudate na degree holders,,,bila kujalisha umri wake.
 
Kwani degree zina shida gani mkuu? Au unataka mtu wa kuburuza muda wote?
Nani alie kwambia degree holders hawaburuzwi kwenye relations/ndoa mjomba?

And are you sure wanawake wote wasio na degree wanaburuzwa kwenye relations/ndoa mjomba?
 
4. Ukiwa unakapiga show kaanza kuomba hela. Yaani kanakatika huku kanaomba hela.
Dah ndugu muhasibu nimecheka sana , kwakwel niko safarini na sik yangu ilikua imeisha vibaya ila hii point namba 4 nimecheka mpaka machozi.

Umenikumbusha 2022 Singida nilikuwa na moment na ka teeneger ka age hiyo 21, kale katoto kalinipenda sana , sasa muda wa kukapiga mashine, kalikua mpaka kanageuza macho kama jini hapo, kakirud kwenye akil zake kanaongea mambo nikawa naona ya kitoto sana sana upuuzi, mara

  • baby naomba nikuzalie mtoto
  • mara baby naomba nikupeleke kwa mama akujue 😂😂

Bas nikawa najionea keroooo 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…